Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,150
- 123,209
Ikishakuwa limited hilo ni gereza hakuna uhuru tena hapoVichwa tofari hawatakuelewa, Mimi nadhani freewill ipo ila ni limited! kuna baadhi ya mambo ambayo tumethibiwa tusiyafanye hata kama tukitaka kuyafanya, mambo yote binadamu tunayafanya yamewekwa katika vipindi tofauti vya Muda. Kwa mfano inawezekana kabisa ungekuja miaka 4500 iliyopita na freewill yako ikataka kuvumbua umeme, ungeishia kugonga mwamba maana Freewill ya binadamu ni limited. hatuna ruhusa ya kufanya kila kitu, na kila jambo linatokea na kufanyika pale muda unapokuwa sahihi jambo hilo kufanyika.
Ni sawa na useme wafungwa waliopo gerezani wamepewa uhuru wa kutembea ndani ya cello zao walimofungwa, bila kusumbuliwa isipokuwa kutoka nje na kujichanganya na raia
