Hakuna faida ya dini hii, ni bora isiwepo kabisa. Dini bora ni hii nyingine

Ninachopendea kitabu chenu kinajicontradict kwa nia njema ya kuumbua Jambo

"Nasi hatukukutuma" ikiwa na maana ni wengi na si mmoja hapo

Hivi tukisema hao ndio Homo capensis aliowataja mdau barikiwa hapo juu nitakuwa nasema urongo...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, uwingi huo ni wa majestic power, si wa namba.

Kuhusu namba, Allah kasema YEYE ni Ahad, Mmoja, wa Pekee.

( قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ )

الإخلاص (1) Al-Ikhlaas

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee
 
Dini = Ubaguzi + ubinafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa dini inafundisha kuondoa huo ubiNafsi kwa text hii:-
1. mpende binaadamu mwenzio Kama unavyopenda nafsi yako!! (Umma eenu huuni umma mmoja na Mimi ndo Muumba wenu niabuduni)
2.uiweke uadui ktk maisha yako..!!
3. Toa Zakaa,Swadaqa kwakusaidia wanyonge namasikini!!
4. Mlinde mwenzio asiangamie..nk nk..
Karibu ndgzangu niwafundishe amali (matendo mazuri ktk uisilam) mtahisi raha na kuona chemchem ya happiness ktk maisha...
Nawatakia kheri ,baraka zake Mola na Dua'a za rehema kwenu..Ameen
 
Mkuu, uwingi huo ni wa majestic power, si wa namba.

Kuhusu namba, Allah kasema YEYE ni Ahad, Mmoja, wa Pekee.

( قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ )

الإخلاص (1) Al-Ikhlaas

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee
Hamchoki kutafuta machaka ya kujiridhisha....!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamchoki kutafuta machaka ya

Hebu tafakari ktk hizi aaya na utupe idadi ya waumbaji

Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

Mwanzo 1:26

Lakini furahini, mkashangilie daima, kwa ajili ya hivi niviumbavyo; maana, tazama, naumba Yerusalemu uwe shangwe, na watu wake wawe furaha.

Isaya 65:18
 
Tz mbongo naona haujanielewa labda unadhani mimi nataka kukashifu dini za mwanzo sina maana hio,kwasababu hata hii ya uislam kwasasa mambo mengi yameshajitokeza ambayo hayakuwepo,tunaona hata ile haki iliokusudiwa inapotezwa..lakini pili huo utaratibu wa M/Mungu kusawazisha au kutimiliza ujumbe wake kwa watu hakuanza kwenye uislam pekee..hayo aliyafanya kupitia manabii wake,,na kama sio kusawazisha kulikuwa hakuna maana ya kuleta LUNDO la manabii.
 
Natamani siku moja niingie kwenye kanisa la wasabato nijue wanachofundishwa humo ndani!! Maana nadhani pana somo la ROHO MBAYA linafundishwa humo!! Maana siyo kwa ubaguzi ule!! Ukiishi jirani na msabato basi jiandae kusumbuliwa!! Kila utachokifanya yeye atakiona hakifai!! Atakuona hufai! Mtu bora ni yeye tu!! Hawa walioileta sabato wametuweza kwa kweli!
 
Tz mbongo naona haujanielewa labda unadhani mimi nataka kukashifu dini za mwanzo sina maana hio,kwasababu hata hii ya uislam kwasasa mambo mengi yameshajitokeza ambayo hayakuwepo,tunaona hata ile haki iliokusudiwa inapotezwa..lakini pili huo utaratibu wa M/Mungu kusawazisha au kutimiliza ujumbe wake kwa watu hakuanza kwenye uislam pekee..hayo aliyafanya kupitia manabii wake,,na kama sio kusawazisha kulikuwa hakuna maana ya kuleta LUNDO la manabii.
Ndiyo maana nikasema dini ziko nyingi sasa unaposema tu dini za Mungu mara dini za mwanzo nashindwa kuelewa unazungumzia dini gani?
 
Mkuu sikuelewi??, wewe unataka tutengeneze dini chotara kutokana na Uislamu na ukristo halafu hapohapo unazikandia hizo dini kwa kuwaita wanaozifuata ni wajinga bali wapumbavu!!!, 🤔🤔🤔 , ujue unatukana wakristo na waislamu mabilions duniani pote.
Amechanganyikiwa.Mambo ya dini ni mambo ya kiimani.Dini ni huleta amani na matumaini moyoni.

Yeye atengeneze dini yake aiabudu yeye na familia yake
 
Mimi natafuta kusudi la hao viumbe kututokeza na sijapata bado_Unaweza kunisaidia..?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, kujua lengo hasahasa la hii jamii kututengeneza ni sio jambo rahisi. Ujue jamii hii wametuzidi kila kitu akili, maarifa, teknolojia, nguvu n.k

Mapyramid ya Misri wao ndiyo waliotengeneza. Hapo zamani walikuwa wanatumia hayo mapyramid kusafirisha gold kutoka duniani kwenda sayari yao ya planet x (laser technology). Ndani ya sanduku la agano ndio kulikuwa na ufunguo wa kuactivate hiyo technology ifanye kazi
 
Hebu tafakari ktk hizi aaya na utupe idadi ya waumbaji

Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

Mwanzo 1:26

Lakini furahini, mkashangilie daima, kwa ajili ya hivi niviumbavyo; maana, tazama, naumba Yerusalemu uwe shangwe, na watu wake wawe furaha.

Isaya 65:18

Mkuu pitia zaburi 82 inayoonyesha Mungu akiwa na Mungu wenzake
 
Mkuu pitia zaburi 82 inayoonyesha Mungu akiwa na Mungu wenzake
Hii ndio shida ya kukosa maandiko ktk lugha yake ya asili na/au inayoishi. Qur'an imetakasika na mapungufu haya kwani lugha yake ni kiarabu(kongwe) na inaishi.

Umenielekeza nisome aya hii...

Kiswahili

1 Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu.
Zaburi 82:1

Kimalkia

82:1 God standeth in the congregation of the mighty; he judgeth among the gods. Psalm

Nadhan umeona kiswahili kilivyokupeleka upogo. Hapo haipaswi kuwa Mungu kusimama katika kusanyiko la Mungu. God si sawa na the mighty bali the mighty ni watu walokuwa na mamlaka, nguvu kubwa hapa duniani nao ni wafalme. Na miungu ni vile vyote vinavyo/vilivyoabudiwa kinyume na Allah. Hivyo Mungu atasimama katika kusanyiko la hao wafalme jeuri/the mighty pamoja na miungu wote ktk siku ya hukumu akitamba kwamba YEYE ndio Mfalme, the Almighty na ndo Deity of worship hapana mwingine.

NB: Allah alishusha Zaburi kwa nabii Daudi (as) na Allah ndo Mfalme/Maliki wa siku hiyo
 
Mkuu sasa huyu Mungu Jehova unataka kuniambia ndio Alah
 
Mkuu sasa huyu Mungu Jehova unataka kuniambia ndio Alah
Ndio. Mungu anaamua arasmishe jina gani kwa nabii gani.

Kwa Abraham(pbuh) jina jingine, kwa Musa(pbuh) jingine, kwa Yesu(pbuh) naye jingine na kwa Muhammad(pbuh) ndo hili 'Allah'
Pitia hizi aya ujifunze kitu

nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Kutoka 6:3

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Mathayo 27:46

الإسراء (110) Al-Israa

Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo.
 
Dini ni utumwa embu fikiria mtu anakaa Roma au Makka halafu anakupangia sheria anazotaka uishi kama anavyotoka yeye

Dini zenyewe zote zimekuja kwa masimango

Hakuna dini yoyote iliyokuja kumtetea mungu wote walikuja kwa maslahi yao
 
Back
Top Bottom