Hakuna faida ya dini hii, ni bora isiwepo kabisa. Dini bora ni hii nyingine

binafsi sina Dini ina namuamini Mungu. Dini ni mpango wa shetani kuwakamata watu wanaoamini wanamtumikia au mwabudu Mungu. huwa najiuliza huyu mwenye Dini ambaye anabagua wengine ambao si wa dini yake na kuwachukia huyu si tayari anafanya kazi ya shetani? kama una dini na ukawaita wenzio majina mabaya ya kubeza au wewe kujitweza kama vile ni bora kuliko wengine hii si ni tabia ya shetani kabisa?

kma utaua wengine ukitetea dini wewe unamwabudu Mungu gani ambaye inabidi utetee dini yake au umtetee? Mungu navyoamini hatetewi kwa mauaji ya watu wengine kama vile usipowaua hao basi wataenda kumuua mungu wako. Mungu anatetewa kwa kutenda mema na kufuata yale yaliyo mema.

babu zetu walikuwa na dini. nazo zilikuwa na mapungfu yao kadhaa. lakini kama tungeweza kuunda dini ambayo inatokana na Dini za Asili, Ukristo na Uislamu pengine tungepata Dini moja CHotara nzuri sana. Dini ambayo itafundisha mambo makuu yafuatayo
1. Upendo
2. Msamaha
3. Amani
4. Udugu
5. ushirikiano

dini ambayo itapingana kabisa na mambo kama
1. kuuana
2. kuchukiana
3. kubaguana
4. kutengana
5. uchoyo
6. malipizi
7. zinaa
etc

nataka kuwe na dinia mbayo itajali wagonjwa, yatima, maskini, wajane wenye dhiki na mateso mbali mbali. hii ndiyo dini ambayo ingewafaa waafrika. waafrika wangeishi kwa amani na upendo na wangeweza sambaza dini hii kwa wengine. ni upumbavu kuja kunambia "hii ndo dini ya kweli " wakati najua uongo mwingi ulioko kwenye vitabu na mahubiri au matendo ya mhusika au wahusika.

kama unaonesha chuki kwa wasio na dini yako unadhani hiyo chuki itaishia hapo? chuki husambaa. utawatenga wasio na dini yako mkabaki wenyewe ndai ya dini nako utagundua kuna dhehebu mbalimbali. utatenga na ukiwa kwenye dhehebu lako utagundua pia kuna watu wana utofaut flani na wewe utawatenga mwishoni utajikuta upo peke yako.

kuna watu wanaamini wao ni waarabu kabisa kwa sababu ya dini ya ki arabu ambayo inabeba tamaduni za kiarabu. dini ni utamaduni kama hujui. na hawa wanawachukia waafrika wenzao ambao walikuwa ndugu zao kabisa miaka KADHAA KABLA YA UTUMWA. alipokuja mwaarabu akawawekea mipaka kuwa anayefuata utamaduni huu wa kiarabu kama wewe ndo ndugu yako asiye si ndugu yako. wapumbavu. narudia.si wajinga. wapumbavu

kuna watu wanaamini wao ni wazungu kabisa kwa sababu ya dini ambayo inaasili ya mashariki ya kati lakini ikaenezwa au kuchukuliwa na wazungu. na hawa nao huwatenga wengine kuwa si ndugu zao wakisahau miaka kadhaa nyuma KABLA YA BIASHARA YA UTUMWA walikuwa ni ndugu zao.wapumbavu.narudia.si wajinga.wapumbavu.

dini iliyo safi ni dini inayojali yatima,maskini,wagonjwa,wenye dhiki na shida.
dini za siku hizi bora siasa tu.
 
user na

user name yako yatosha kujieleza ulivyo ndani yko
 
Tatizo kubwa linaanzia Pale ambapo kila mtu analazimisha kua Mungu wake ndie pekee anayestaili kuabudiwa. Amani itapatikana Duniani pale ambapo watu watakapokubali kua kuna uwezekano kila mtu anaweza enda kwenye mbingu anayoiwaza yeye. mfano waislam wakaenda kwenye Pepo yao, Wakristo pia wakawa na Pepo yao , wahindu nao n.k.
 
Kwa heshima na taadhima zote...suali lako adhimu Naomba tuwe wakweli na wazi.. " imani ya Kislam imeweza kuunganisha mataifa yote (Asia,Africa,Europe,America,nk) kutokana na misingi na nguzo zake 5 !! Nakusihi usichanganye matendo ovu ya baadhi ya waumini wa kiislam, halafu uka akisi juu ya UISALAM !! hata hivo siuvunjii hadhi Kristo.. heshima yao ipo juu,vizuri.... Hivyo ucha mungu upo ktk nafsi ya MwanaAdamu pekee !!

Unaleweka lakini hakuna logic kutenganisha WAISLAM na UISLAM sbb Ili kuuona na kutambua UISLAM ni kuyaona matendo ya WAISLAM sbb tabia na tamaduni au desturi wanazoishi waislam na matokeo/matunda/product ya UISLAM WENYEWE.

Naomba radhi kama nitakuwa nimewakwaza SIO LENGO LANGU ni katika kutafuta amani.
 
Indeed.. hujanikwaza..nashukuru umenotice mapungufu yapo na kila mja Ana kasoro zake!!
"Hakika mbora wetu NI yule anaekubali kosa na kulirekebisha na kuwa mcha Mungu "
Kwa ziada tu... Utamu na raha ya dini hii utaipata ukiwa ndani yake..!!
Be blessed..
 
Duh sina namna ya kukushukuru, hakika sikutegemea jibu la kiungwana wa hali ya juu kiasi hiki, Kwa ukweli tungepeta only 10% watu kama wewe duniani amani ingetawala milele. Lazima utakuwa na BUSARA NA HEKIMA KUBWA.

Nimekuelewa sana, na mm nakuomba hili tu usiuache UISLAM kamwe ila Ingia UKRISTU na kuutambua vema uisome biblia pata mafundisho yake, angalau mwaka mmoja tu tenga kwa hilo tu ktk maisha yako.

BAADA YA KUZIJUA VEMA HIZI DINI (Imani,Tamaduni, desturi n.k)
SASA UTAKUWA NA UWEZO MZURI SANA WA KUZILINGANISHA maamuzi ni hiari

HUWEZI KUSEMA HUKU KUKO HIVI SBB HUNA CHA KULINGANISHA (compare)
 
binafsi sina Dini ina namuamini Mungu. Dini ni mpango wa shetani kuwakamata watu wanaoamini wanamtumikia au mwabudu Mungu. huwa najiuliza huyu mwenye Dini ambaye anabagua wengine ambao si wa dini yake na kuwachukia huyu si tayari anafanya kazi ya shetani? kama una dini na ukawaita wenzio majina mabaya ya kubeza au wewe kujitweza kama vile ni bora kuliko wengine hii si ni tabia ya shetani kabisa?

kma utaua wengine ukitetea dini wewe unamwabudu Mungu gani ambaye inabidi utetee dini yake au umtetee? Mungu navyoamini hatetewi kwa mauaji ya watu wengine kama vile usipowaua hao basi wataenda kumuua mungu wako. Mungu anatetewa kwa kutenda mema na kufuata yale yaliyo mema.

babu zetu walikuwa na dini. nazo zilikuwa na mapungfu yao kadhaa. lakini kama tungeweza kuunda dini ambayo inatokana na Dini za Asili, Ukristo na Uislamu pengine tungepata Dini moja CHotara nzuri sana. Dini ambayo itafundisha mambo makuu yafuatayo
1. Upendo
2. Msamaha
3. Amani
4. Udugu
5. ushirikiano

dini ambayo itapingana kabisa na mambo kama
1. kuuana
2. kuchukiana
3. kubaguana
4. kutengana
5. uchoyo
6. malipizi
7. zinaa
etc

nataka kuwe na dinia mbayo itajali wagonjwa, yatima, maskini, wajane wenye dhiki na mateso mbali mbali. hii ndiyo dini ambayo ingewafaa waafrika. waafrika wangeishi kwa amani na upendo na wangeweza sambaza dini hii kwa wengine. ni upumbavu kuja kunambia "hii ndo dini ya kweli " wakati najua uongo mwingi ulioko kwenye vitabu na mahubiri au matendo ya mhusika au wahusika.

kama unaonesha chuki kwa wasio na dini yako unadhani hiyo chuki itaishia hapo? chuki husambaa. utawatenga wasio na dini yako mkabaki wenyewe ndai ya dini nako utagundua kuna dhehebu mbalimbali. utatenga na ukiwa kwenye dhehebu lako utagundua pia kuna watu wana utofaut flani na wewe utawatenga mwishoni utajikuta upo peke yako.

kuna watu wanaamini wao ni waarabu kabisa kwa sababu ya dini ya ki arabu ambayo inabeba tamaduni za kiarabu. dini ni utamaduni kama hujui. na hawa wanawachukia waafrika wenzao ambao walikuwa ndugu zao kabisa miaka KADHAA KABLA YA UTUMWA. alipokuja mwaarabu akawawekea mipaka kuwa anayefuata utamaduni huu wa kiarabu kama wewe ndo ndugu yako asiye si ndugu yako. wapumbavu. narudia.si wajinga. wapumbavu

kuna watu wanaamini wao ni wazungu kabisa kwa sababu ya dini ambayo inaasili ya mashariki ya kati lakini ikaenezwa au kuchukuliwa na wazungu. na hawa nao huwatenga wengine kuwa si ndugu zao wakisahau miaka kadhaa nyuma KABLA YA BIASHARA YA UTUMWA walikuwa ni ndugu zao.wapumbavu.narudia.si wajinga.wapumbavu.

dini iliyo safi ni dini inayojali yatima,maskini,wagonjwa,wenye dhiki na shida.
Najua unayasema majamaa fulani yanayojifanya yanapigania HAKI ambayo hata yao yenyewe hayaijui ni HAKI gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh sina namna ya kukushukuru, hakika sikutegemea jibu la kiungwana wa hali ya juu kiasi hiki, Kwa ukweli tungepeta only 10% watu kama wewe duniani amani ingetawala milele. Lazima utakuwa na BUSARA NA HEKIMA KUBWA.

Nimekuelewa sana, na mm nakuomba hili tu usiuache UISLAM kamwe ila Ingia UKRISTU na kuutambua vema uisome biblia pata mafundisho yake, angalau mwaka mmoja tu tenga kwa hilo tu ktk maisha yako.

BAADA YA KUZIJUA VEMA HIZI DINI (Imani,Tamaduni, desturi n.k)
SASA UTAKUWA NA UWEZO MZURI SANA WA KUZILUNGANISHA maamuzi ni hiayi

HUWEZI KUSEMA HUKU KUKO HIVI SBB HUNA CHA KULINGANISHA (compare)
Shukran nyingi Ndg.
Na heshima kubwa kwa Christianity (ucha Mungu) Kama unajua maana yake...!!? Tofauti zetu NI ndogo na Mara nyingi kambi letu na lenu huwa ktk kivuli kimoja..!! Tatizo NI huu umri (age span) NI mchache (short) Sasa wajua Tena nisje kutwa jtk nyumba ya jirani!!
Ndg Mpendwa tupo pamoja !!
Most welcom anytime
 
hivi ukristo na uislam ni dini za watu au n utaratbu wa watu?? hivi ukristo ulianzishwa na nan?? na kwa nini?? uislam tunajua lengo lao n kufanya dunia hii yote iwe chn ya utawala wao..Dhima ya ukristo nini?? naomben majibu
 
Sasa dunia yote ikiwa chini ya utawala wao ndio nani anafaidika na hilo? Halafu ukristo wengine wanasema sio dini ni imani tu ya kumuamini Yesu.
 
binafsi sina Dini ina namuamini Mungu. Dini ni mpango wa shetani kuwakamata watu wanaoamini wanamtumikia au mwabudu Mungu. huwa najiuliza huyu mwenye Dini ambaye anabagua wengine ambao si wa dini yake na kuwachukia huyu si tayari anafanya kazi ya shetani? kama una dini na ukawaita wenzio majina mabaya ya kubeza au wewe kujitweza kama vile ni bora kuliko wengine hii si ni tabia ya shetani kabisa?

kma utaua wengine ukitetea dini wewe unamwabudu Mungu gani ambaye inabidi utetee dini yake au umtetee? Mungu navyoamini hatetewi kwa mauaji ya watu wengine kama vile usipowaua hao basi wataenda kumuua mungu wako. Mungu anatetewa kwa kutenda mema na kufuata yale yaliyo mema.

babu zetu walikuwa na dini. nazo zilikuwa na mapungfu yao kadhaa. lakini kama tungeweza kuunda dini ambayo inatokana na Dini za Asili, Ukristo na Uislamu pengine tungepata Dini moja CHotara nzuri sana. Dini ambayo itafundisha mambo makuu yafuatayo
1. Upendo
2. Msamaha
3. Amani
4. Udugu
5. ushirikiano

dini ambayo itapingana kabisa na mambo kama
1. kuuana
2. kuchukiana
3. kubaguana
4. kutengana
5. uchoyo
6. malipizi
7. zinaa
etc

nataka kuwe na dinia mbayo itajali wagonjwa, yatima, maskini, wajane wenye dhiki na mateso mbali mbali. hii ndiyo dini ambayo ingewafaa waafrika. waafrika wangeishi kwa amani na upendo na wangeweza sambaza dini hii kwa wengine. ni upumbavu kuja kunambia "hii ndo dini ya kweli " wakati najua uongo mwingi ulioko kwenye vitabu na mahubiri au matendo ya mhusika au wahusika.

kama unaonesha chuki kwa wasio na dini yako unadhani hiyo chuki itaishia hapo? chuki husambaa. utawatenga wasio na dini yako mkabaki wenyewe ndai ya dini nako utagundua kuna dhehebu mbalimbali. utatenga na ukiwa kwenye dhehebu lako utagundua pia kuna watu wana utofaut flani na wewe utawatenga mwishoni utajikuta upo peke yako.

kuna watu wanaamini wao ni waarabu kabisa kwa sababu ya dini ya ki arabu ambayo inabeba tamaduni za kiarabu. dini ni utamaduni kama hujui. na hawa wanawachukia waafrika wenzao ambao walikuwa ndugu zao kabisa miaka KADHAA KABLA YA UTUMWA. alipokuja mwaarabu akawawekea mipaka kuwa anayefuata utamaduni huu wa kiarabu kama wewe ndo ndugu yako asiye si ndugu yako. wapumbavu. narudia.si wajinga. wapumbavu

kuna watu wanaamini wao ni wazungu kabisa kwa sababu ya dini ambayo inaasili ya mashariki ya kati lakini ikaenezwa au kuchukuliwa na wazungu. na hawa nao huwatenga wengine kuwa si ndugu zao wakisahau miaka kadhaa nyuma KABLA YA BIASHARA YA UTUMWA walikuwa ni ndugu zao.wapumbavu.narudia.si wajinga.wapumbavu.

dini iliyo safi ni dini inayojali yatima,maskini,wagonjwa,wenye dhiki na shida.
Kg support you 100% Mungu hana dini halafu kuna wapuuzi wanasema dini ya kweli ni uislamu, kwani Mungu ni mwislamu? Kuna wapuuzi wanasema dini ya kweli ni ulokole, kwani Mungu ni mlokole? Kuna wapuuzi wanasema Roman Catholic ndo dini ya kweli kwani Mungu ni mkatoliki?
Kaeni na dini zenu, Mungu Hana dini ni Mungu wa wote wenye mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumwambia mtu ukweli siyo Matusi! ila kumuelimisha!! sasa nyie leteni jazba za ushetani wenu hapa Kwa Biblia hkn Dini, yesu hakuwa na Dini halafu mlivo wajinga yesu mzungu kweli?
 
Sio jambo rahisi kukubalika hivyo
Tatizo kubwa linaanzia Pale ambapo kila mtu analazimisha kua Mungu wake ndie pekee anayestaili kuabudiwa. Amani itapatikana Duniani pale ambapo watu watakapokubali kua kuna uwezekano kila mtu anaweza enda kwenye mbingu anayoiwaza yeye. mfano waislam wakaenda kwenye Pepo yao, Wakristo pia wakawa na Pepo yao , wahindu nao n.k.
 
Tatizo kubwa linaanzia Pale ambapo kila mtu analazimisha kua Mungu wake ndie pekee anayestaili kuabudiwa. Amani itapatikana Duniani pale ambapo watu watakapokubali kua kuna uwezekano kila mtu anaweza enda kwenye mbingu anayoiwaza yeye. mfano waislam wakaenda kwenye Pepo yao, Wakristo pia wakawa na Pepo yao , wahindu nao n.k.
NNKSON tatizo letu sisi tunatofautiana fikra na imani kwa wakati au zama moja, wakati hawa waliyotufundisha dini na kumjua Mungu walikuwa na fikra moja au dini moja katika nyakati tofauti. Ikiwa Dunia ni moja mwezi mmoja jua moja, utaratibu wa asili kama kuzaliwa, kukua, kula, kulala, kunywa, kufa n.k. ni mmoja, na tumekuwa hivyo tu kwa kuwa hayo mambo yapo nje ya uwezo wetu yaani tunawezeshwa, ila kwenye jambo la imani ambayo tumepewa khiyari sisi wenyewe kuamini tunachokitaka ndipo penye mkinzano. Ili tukitaka tuwe sawa katika imani zetu ni lazima tuangaliye ni jambo lipi lenye kutuwezesha kutuunganisha pamoja na lenye manufaa ya kidunia na ya maisha baada kifo. Kitu kikubwa kinachohitajika katika maisha yetu ni amani kama ulivyosema "Amani itapatikana Duniani pale ambapo watu watakapokubali kua kuna uwezekano kila mtu anaweza enda kwenye mbingu anayoiwaza yeye." Jinsi gani ya kuifikia amani? Hili ni swali lazima kila mmoja wetu alifikirie, ikiwa tutakuwa na imani ya kutuletea amani basi imani hiyo ndiyo tuing'ang'anie. Na ili tuwe na imani yenye amani lazima tuwe na elimu na maarifa ya imani hiyo, hivyo elimu ni muhimu sana ya kujua nini unachokifanya ili uweze kujiepusha na mambo yatakayoweza kuivuruga amani.
Katika Quran 35:28 - Kwa hakika wanao mcha Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wanazuoni.
Katika Biblia Methali 1:7 -Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Hivyo basi tusome maandiko matakatifu kwa nia ya kutaka kuujua ukweli na si kwa kutaka kulumbana.
 
Kg support you 100% Mungu hana dini halafu kuna wapuuzi wanasema dini ya kweli ni uislamu, kwani Mungu ni mwislamu? Kuna wapuuzi wanasema dini ya kweli ni ulokole, kwani Mungu ni mlokole? Kuna wapuuzi wanasema Roman Catholic ndo dini ya kweli kwani Mungu ni mkatoliki?
Kaeni na dini zenu, Mungu Hana dini ni Mungu wa wote wenye mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kibaya yote tu ni mawazo ya watu hakuna mwenye ushahidi wa hayo.... mm mwenyewe naona dini ni upumbavu tu na ni tool ya kucontrol human mind...!!!

Kinachonifurahi kwa kipind hk waafrika wengi wameanza kushtuka hasa na hz dini za kuja...!!! Mm nitabaki na matambiko ya kwetu, mizimu ya kwetu na mila za kwetu
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom