yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
jikite kwenye hoja kamanda acha jazbaHata Kama ni njaa inakusumbua huna haja ya kujidhalilisha.
Utachuchukua muda wa karne kwa wewe kuelewa maana ya demokrasia na UCHAGUZI HURU.Ndugu zangu,
Namba hazidanganyi. Si CHADEMA, ACT, CUF wala chama chochote hapa Tanzania kinachoweza kusimamisha mgombea kila jimbo, kata, kijiji, mtaa. Vyama vyote hivyo vinafanya kazi mijini au kwenye sehemu ambayo viongozi wao wamezalizaliwa au dini ya viongozi wao. Mfano: Chadema ipo Hai, ACT ipo Kigoma na hivi karibuni imeingia Zanzibar sababu ya Maalim Seif.
Kwa mtazamo huu, bado itachukua karne kuifikia CCM, ni sawa leo kulinganisha makanisa, taasisi kama RC, makanisa ya CCT na makanisa ya akina Mwamposa, Gwajima et al.
Leo Zitto, Mbowe ni ''mitume'' kwenye vyama vyao; hata wafuasi wao wanakiri kuwa bila wao vyama vyao vinakufa.
Tujadili kwa hoja si viroja.
Kamanda jikite kwenye hojaIla kuna chama ambacho kinawashawishi wasimamizi wa uchaguzi kukimbia ofisi zao ili wapinzani wasiweze kurudisha fomu
Ndugu zangu,
Namba hazidanganyi. Si CHADEMA, ACT, CUF wala chama chochote hapa Tanzania kinachoweza kusimamisha mgombea kila jimbo, kata, kijiji, mtaa. Vyama vyote hivyo vinafanya kazi mijini au kwenye sehemu ambayo viongozi wao wamezalizaliwa au dini ya viongozi wao. Mfano: Chadema ipo Hai, ACT ipo Kigoma na hivi karibuni imeingia Zanzibar sababu ya Maalim Seif.
Kwa mtazamo huu, bado itachukua karne kuifikia CCM, ni sawa leo kulinganisha makanisa, taasisi kama RC, makanisa ya CCT na makanisa ya akina Mwamposa, Gwajima et al.
Leo Zitto, Mbowe ni ''mitume'' kwenye vyama vyao; hata wafuasi wao wanakiri kuwa bila wao vyama vyao vinakufa.
Tujadili kwa hoja si viroja.
hoja ndiyo hiyo kuwa kuna chama kimoja kinaogopa wagombea wa vyama vya upinzani hali inayosababisha chama hicho kuwaelekeza wasimamizi wa uchaguzi kukimbia ofisi zao pindi wagombea wa upinzani wanaporudsha fomu zao
Kamanda huo si uteteziMwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania hataki wenye Vyama waende kufanya MIKUTANO na Wananchi kwenye maeneo ambayo hawapo, wataenea lini na kuwa na Wafuasi na kuweza kusimamisha wagombea nchi nzima?
MBOWE ALIPOSEMA UBABE NDIYO HUO.
USIMNUKUU WAZIRI MKUU KUWA HAWAJAZUIWA,
UKWELI NI KWAMBA WAMEZUIWA.
NJOO NA HOJA NYINGINE.
Ndugu zangu,
Namba hazidanganyi. Si CHADEMA, ACT, CUF wala chama chochote hapa Tanzania kinachoweza kusimamisha mgombea kila jimbo, kata, kijiji, mtaa. Vyama vyote hivyo vinafanya kazi mijini au kwenye sehemu ambayo viongozi wao wamezalizaliwa au dini ya viongozi wao. Mfano: Chadema ipo Hai, ACT ipo Kigoma na hivi karibuni imeingia Zanzibar sababu ya Maalim Seif.
Kwa mtazamo huu, bado itachukua karne kuifikia CCM, ni sawa leo kulinganisha makanisa, taasisi kama RC, makanisa ya CCT na makanisa ya akina Mwamposa, Gwajima et al.
Leo Zitto, Mbowe ni ''mitume'' kwenye vyama vyao; hata wafuasi wao wanakiri kuwa bila wao vyama vyao vinakufa.
Tujadili kwa hoja si viroja.
Baada ya kuhara jenga hoja sasaCHADEMA ilisimamisha wagombea hadi chumbani kwa Mungu wako CHATO....... mna bahati sana kenge nyie tungewacharaza hadi wenyeviti wa mitaa ya jirani ya ikulu wangekuwa wanatokana na chadema...SEMA ASANTE POLISI.
Mmawia atabishaNdugu zangu,
Namba hazidanganyi. Si CHADEMA, ACT, CUF wala chama chochote hapa Tanzania kinachoweza kusimamisha mgombea kila jimbo, kata, kijiji, mtaa. Vyama vyote hivyo vinafanya kazi mijini au kwenye sehemu ambayo viongozi wao wamezalizaliwa au dini ya viongozi wao. Mfano: Chadema ipo Hai, ACT ipo Kigoma na hivi karibuni imeingia Zanzibar sababu ya Maalim Seif.
Kwa mtazamo huu, bado itachukua karne kuifikia CCM, ni sawa leo kulinganisha makanisa, taasisi kama RC, makanisa ya CCT na makanisa ya akina Mwamposa, Gwajima et al.
Leo Zitto, Mbowe ni ''mitume'' kwenye vyama vyao; hata wafuasi wao wanakiri kuwa bila wao vyama vyao vinakufa.
Tujadili kwa hoja si viroja.
Halafu inakuwaje kwenye uchaguzi wanawagaragaza?Mashabiki wa ccm hawana tofauti na mashabiki wa mpira wa makaratasi almaarufu chandimu...butua butua tu wao ni shangwe!