Hakuna chabo hapa

Hakuna chabo hapa

Hapo ukiwa na honda simple kuichomoa na ukafanya vitu
 
Kwanza examination venue ni mtihani tosha, bado tena huo mtihani wa kuandika. Sio haki hiiiiiiiii
wapi ile kengengele ya Haki Elimu?
 
Hapo ukiwa na supporting document a.k.a kibomu unapass vizuri tu.
 
una cheza wewe...kuna watu wana shingo zinavutika kama mpira!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom