Hakuna cha Bata wala Kuku wa kienyeji

Uko sahihi mkuu 👊
 
Kwa hiyo unataka kuniambia alichokisema rais Dr. Magufuli hakina mantiki!?
 
Hivi kwanza umesikiliza hotuba ya mh. Rais au unatiririka tu kwa kile unachokiwaza kichwani!?
 
Hivi kwanza umesikiliza hotuba ya mh. Rais au unatiririka tu kwa kile unachokiwaza kichwani!?
Sijasikia akisema atapunguza kodi, kuna tofauti kati ya kutoa maoni binafsi na kubadili sheria inayohusika na Kodi. Cha msingi walipa Kodi wameongezeka kupitia wanakjishighulisha na sekta isiyo rasmi.
 
Inaonekana hujafuatilia hotuba ya mh. Rais na kama ulimsikiliza basi hata huelewi alikuwa anazungumza nini, kuendelea kujibishana na wewe hapa kumbe ni waste of time tu
 
Inaonekana hujafuatilia hotuba ya mh. Rais na kama ulimsikiliza basi hata huelewi alikuwa anazungumza nini, kuendelea kujibishana na wewe hapa kumbe ni waste of time tu
Kwani rais alikuwa anauza sera ya kazi na bata? Jikite kwenye hoja iliyo mezani Achana na kuokoteza maneno yasio jibu hoja. Tuambie hiyo sera inatekelezeka vipi bila kugarimu serikali mapato? Kwani maneno mengine unategemea serikali ya kazi na bata watatoa incentive gani kutekeleza hoja yao?
 
Hata mapungufu aliyoyasema jana raisi yakifanyiwa kazi hata sasa #KaziNaBata inawezekana, sera mbadala inajikita zaidi kuona solution ya mapungufu yaliyopo, iwapo huoni mapungufu ya sasa hata ukiambiwa sera bado utakuwa kipofu
 
Hakuna hata mmoja wenu anajibu sahihi ya nini maana ya neno bata, wote mnajaribu kufukia fukia mashimo kadiri muda unavyokwenda. Wewe unaongelea utendaji wa serikali, wengine wanaongele muda wa mapunziko baada ya kazi. Hata mtoa hoja anasema kufanya kazi masaa 8, kupimzika masaa 8 na kulala masaa 8. Mdani inabidi upate ufafanuzi kutoka kwa walio toa hoja maama mnakinzana. Hata kama unavyosema wewe ndio maana halisi, sijaona nchi yoyote duniani inamafaniko ya ufanisi unaozidi hata 75% hapo hata ukijumuisha marekani na bara la ulaya.
 
Kwa wewe unavyoona bata ni definition au subjective!?
 
Kwa wewe unavyoona bata ni definition au subjective!?
Kila kitu duniani lazina kiwe na definition kabla ya kuwa subjective to any cause of action. Sasa wenzetu mnashindwa kuweka rekodi sawa kuwa Bata ni nini, ni literally Kula nyama ya bata au ni kula maisha kama walivyokuwa wanalitumia hilo neno back in 90's. Subjective without true definition can fall into anyone's interpretation. Wengine wanaweza kusema hiki kizuri wengine wakasema kibaya. Until you all have the true definition of good or bad, mtabaki kubishana tu kama vile tunafanya hapa. Kuna uzi ulifunguliwa humu kutafuna maana ya huo msemo kazi na bata, nadhani hata huko hawakupata ufafanuzi. Kwajinsi nilivyoelewa mimi kazi na bata ni kitu kisichowezekana kutokana nchi inahangaika kuongeza uzalishaji, kula bata utakula uzeeni.
 
Umeulizwa bata ni definition au subjective!? Nataka jibu la aidha definition au subjective au ni vyote kwa pamoja sio blah blah nyingi unaniandikia
 
Umeulizwa bata ni definition au subjective!? Nataka jibu la aidha definition au subjective au ni vyote kwa pamoja sio blah blah nyingi unaniandikia
Unauliza kama umeishia la saba, toa maswali na majibu in depth. Bata is a duck by definition, a water bird with two legs and feathers. BTW, Bata is a "noun". Ukiuliza Definition and subjective has no place over here maana the saying has total different meaning to what your trying to say. "Kula Bata" literally translate as Enjoying Your Life, at least that how we used the word in 90s.
 
Tatizo una complicate sana kama vile unajibu essay darasani kwa swali dogo la yes or no, we unaandika blah blah mingi. I better leave you
 
Tatizo una complicate sana kama vile unajibu essay darasani kwa swali dogo la yes or no, we unaandika blah blah mingi. I better leave you
Hapa sio kwa Yes or No, watu wanaongele mustakabali wa nchi hii Kwa miaka ijayo. Huwezi kuweka maisha ya watanzania rehani ahadi zisizo telelezeka na ukajibu yes or no, wananchi lazima wajuwe na waeleweshe nini wanachi kipigia kura. Kazi na Bata haizitekelezeki Kwa sababu Tanzania haina luxury ya kuwaacha watu wale bata wakati nchi is desperate to increase productivity.
 
Mtoa post you nailed it.

Huu ndio ukweli.

Ila bavicha/ufipa watakuja kupinga hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…