Hakuna Bongo Huu Mshono wa Nguo

Nimeupenda huo wa pink.......naenda kushona.......
 
Huyo wa kwanza mashalllaaaa! Mtoto mzuri jamani, hata kama mshono unaongezea, but she is cuty.
 
mie kazi yangu ni kupima tu...tena wadada, mshonaji mwingine.
ni kama hotelini vile, anayepika na kusave ni watu tofauti

Kwani wewe unajua kushona............?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…