Pesa yake mtamrudishia? Huyo ndiye mwenye hati miliki ya chama mr mafiKweli kabisa maana huyu mamvi hatumuelewi kabisa. Kama vipi arudi ccm kama wenzake
Kwa mujibu wa Jacob wewe ni taka taka isipokuwa Lissu.Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa .
Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .
Chadema ni kama Jeshi , Hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe , Si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa Chadema .
Bila kujali yanayoendelea , na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine , naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals .
Ugwee ughonile nkamu chadema oyeeeNimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa .
Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .
Chadema ni kama Jeshi , Hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe , Si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa Chadema .
Bila kujali yanayoendelea , na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine , naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals .
Kwahiyo Leo siyo Fisadi??Makamanda leo hakuna kulala hadi kieleweke. Alikuja na rupia akapewa chama. Akaingiza ruzuku lakini hasaini popote kupata ruzuku. Ame invest haoni return!
Na kama wanabisha wakubari tuanze amsha popo waone kama watabaki salamHuo ndio ukweli wenyewe aliondoka Dr Warid, Dr Slaa, Arfi, Zitto na genge lake lote la PM7 na Chadema iko imara kabisa.
Chadema ni taasisi isiyo na wanachama waamini watu, iko na wanachama waamini itikadi, Falsafa na sera zake.
Kusubiri Chadema ianguke kisa tu kiongozi fulani atatoka ni sawa kusubiri Bombardier bandarini.
Nyie mnaojifariji kuwa kutetereka kwa Chadema kama taasisi mtachoma sana mahindi kwa mwanga wa Mbalamwezi
Huko kwenu ccm , inaitwa CCM ya Magufuli , ushindi Alipata 100% ! Eti hakuna hata kura 1 iliyoharibika huku zaidi ya wajumbe 100 hawakujua kusoma wala kuandika .
Huyu Mbowe unaye mmilikisha chadema hajawahi kushinda uenyekiti kwa 100% na wala hajawahi kuita chama CHADEMA YA MBOWE .
Mada ya kipuuzi iliyoanzishwa na kamanda wa chadema mwenye akili timamu. Mada kama hizi ziwe zinaishia kwenye groups zenu.
Ushindi wa kupangwa wa 100% kwa lengo la kumdanganya nani ?Kwa mtu akisema Tanzania ya Erythrocyte ina maana Tanzania yote inakuwa mali yako? Kuna ajabu gani mtu kushinda uchaguzi kwa 100%? Ni kweli inaweza kuwa vigumu lakini si kwamba haiwezekani. Kidemokrasia hakuna tofauti ya kushinda kwa 100% au kwa asilimia yoyote inayotakiwa kupata mshindi. Hakuna tatizo kabisa labda lile unaloliona wewe ambalo labda utueleze msingi wake ni nini. Halafu hii tabia ya kudharau Watanzania wenzenu eti kwa vile hawajui kusoma ni kuwakosea heshima. Hata Kama watu 100 hawajui kusoma na kuandika lakini wana haki ya kupiga kura, hiyo ni haki yao ya msingi. Hizi dharau kwamba mtu kaungwa mkono na watu ambao hawajasoma ni upuuzi wa kisiasa na kimawazo maana wapo Watanzania wengi zaidi ya 100 ambao wengine ni wanachama wa vyama vingine na ni wapiga kura pia. Jaribuni kuandika kauli za kinyenyekevu zenye kuheshimu Watanzania wa tabaka zote wakati mnajenga hoja zenu za kisiasa, mitandaoni au mahali pengine popote!
Hilo ni ingizo jipya mkuuKwa mamlaka ipi uliyokuwa nayo humu? Tangu lini una ubia na Maxence? Acha kujibaraguza na kujikweza kwa mamlaka usiyokuwa nayo.
Uongo utakusaidia nini ?Kwa mujibu wa Jacob wewe ni taka taka isipokuwa Lissu.
binadamu mkubwa kuliko wote chagadema ni mboweNimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa .
Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .
Chadema ni kama Jeshi , Hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe , Si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa Chadema .
Bila kujali yanayoendelea , na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine , naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals .
Nimekucheka kwa dharau sana !Chadema kina wenyewe.Toka kuanzoshwa kwake ni chama cha kbepari cha mabwanyenye wenye pesa zao.Ndio wamiliki na wenye chadema na ndio wenye maamuzi.Mleta mada pesa huna unajitia Chadema cha wote!!!!!! Hivi kila mwezi lofa wewe huwa unachangia Chadema shilingi ngapi kwa ajili ya uendeshaji wake? Mleta mada kama hujui Chadema sio cha wote kuna wenye nacho wenye nazo wewe ni mpiga filimbi tu wa mitandaoni na kukmbia kama mwehu mabarabarani ukiimba wimbo wa mabadiliko lowasa na Lowasa mabadiliko au ukiitikia juani peoples power ukiwa na njaa na ulofa wa kufa mtu huku ukipiga miayo hovyo kwa kupigika kimaisha
.
CHADEMA ni mali ya Lowasa na kama unabisha utaona mtakavyotimuliwa na mwenye mali mkatafute chama cha kushabikiaPorojo hizi ni kwa faida ya nani ?