Habari zenu, TLS ni taasisi inayohudumia watu wote bila ya kuzingatia itikadi, dini, rangi wala ubaguzi wa aina yeyote.
Lakini chama cha CHADEMA kinakubali kuungwa mkono na chama cha mawakili Tanganyika ilihali wanafahamu fika chama hicho ni taasisi ya umma.
Wakati huo huo wanailaumu CCM kuungwa mkono na taasisi za umma kama vile mahakama,polisi na usalama.
Je, hapo mbona hakuna uadilifu katika kulaumu na kushtumu mambo.