Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira

Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira

Wassira hakawii kurusha ngumi ndio maana JK anamuita Tyson, Mbowe ni mpole na mwenye busara kweli kuliko maelezo.Kaka Ruben Ndege muambie mzee apunzike sasa maana naona akili yake imegeuka ileeeeeee ya utotoni.
 
Niliwaangalia mwanzo mwisho, nilimsikitikia Wasira kwani point hakuna kabisa. Nilitamani Mbowe aseme tutarajie nini toka serikali inayolala bungeni ? Then tuone huyu mzee atakurupukaje .
 
Hivi Wassira ameamka?? maana last time nilimuona kalala bungeni
kaka msameheni tu unajua safari ya kutoka hifadhi ya gombe mpaka bungeni si mchezo ndomaana analala.
 
Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.
Mwita25; nilikwambia Wamwita wana uchungu na nchii hii, wewe ni mwita fake umeona sasa????!!!!!!!!!!!!!!
 
Kulikua na kale kamsema ka akina mama "mtu mzima hovyoooo..." sijui kalipotelea wapi, kangefaa kidogo
 
Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.

Hujakosea kabisa Mwita25 kwamba ccm ni JUA ambalo linalotuunguza vibaya bila huruma,inabidi tukae kivulini CHADEMA.
 
Nimefatilia kwa makini sn tbc1.
Wasira alikua km atu anayetaka kuzichapa hv.maana hakua na busara ht kidogo.
Alichokionyesha wasira na mameno aliyoyasema kuitetea serikali yake na kuwachana wapinzani ndivyo wanavyofanya karibu wabunge wote wa ccm katika mikutano ya hadhara na katika vyombo mbalimbal vya habari kama silaha pekee ya kuhakikisha wananchi wanakipenda chama chao hata kama kinafanya madudu.

Wananchi waliowengi siasa za maji taka hatuzitaki,tunampenda mtu anayejenga hoja.
Hongera sn mh Mbowe umetuonyesha jinsi chama chenu kilivyo makini na kupuuza jazba za kipuuzi kama za huyu mzee wasira aliyejichokea
 
Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.
Mkuu kama unaamini kivuli hakitoki mpaka kuwe na jua utakuwa hata kivuli hukifahamu.
Naomba utulie,acha paniki,FIKIRI UPYA KUHUSU KIVULI.
 
Mwili ukiamka ni zamu ya ubongo kulala.
MASKINI WASIRA WA WATU.
Quote of the day

He woke up but his brains failed to operate rationally

Sasa hebu fikiria mtu amekua mwanasiasa since ana miaka 25 halafu anakosa busara na ukomavu wa kujadili hoja kwa hoja.............

Kuna kauli inasema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.... i believe its true

HAWA NDIO WANASIASA WETU, NA HIYO NDIYO SERIKALI YETU
 
Mi nafikifiri TBC1 wamefanya kusudi kumdhalilisha mzee wa wa2, kwa jinsi ninavyomfahama tyson sio saiz ya Mbowe kwamba anaweza kupambana nae katika kujenga hoja murua. Hata angekua Jeykey hapo (mbowe) ni maji marefu sana yaani!
 
Na mimi nimeangalia kipindi kizima wasira ameidhalilisha serikali kwamba ni kweli serikali yao ni legelege kabisa hakuweza kujibu hoja ila alikurupuja jk tunakushauri toa hawa mawaziri wanakuangamiza kabla ya 2015
 
katika kipindi cha tuongee jambo Tanzania cha TBC leo asubuhi Wasira amejaa khasira
sijui kwa sababu gani hasa,au sababu alishindwa kujibu hoja za mh mbowe!

Inashangaza kwa waziri anayehusika na mahusiano kutokuwa na mahusiano mazuri
siyo kwa wapinzani tu bali hata kwa jamaa zake...
 
Nimewasikiliza mwanzo mwanzo mwa kipindi, lakini nilivyoona mzee huyu hajibu maswali nikaondoka kuwahi kibaruani, sikuwa na hamu ya kumsikiliza. aliuliza katika kikao hiki cha bunge kinachondelea kumetokea na maneno kusema mawazi hawajibu maswali vizuri yanayoulizwa na wabunge, hili unalichukuliaje? Yeye kajibu kuwa CDM walikuwa wanapeleka hoja kwingine kwa kuongelea mambo ya posho tu za wabunge. waliosikiliza vizuri haebu nisaidieni kutokea hapo, maana sikumuwekea maanani kabisa.
 
Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.


Think big!
 
nimemdharau sana Wasira leo...ana jazba za kipuuzi kweli na hana maana yoyote....Mbowe amemjibu kwa busara sana
<br />
<br />
UJUE MTU AKIWA GONJWA GONJA HASA HIVI VISUKARI WANAKUWAGA NA JAZBA PLUS UZEE HAHAHAHA!
 
nimemdharau sana Wasira leo...ana jazba za kipuuzi kweli na hana maana yoyote....Mbowe amemjibu kwa busara sana
<br />
<br />
UJUE MTU AKIWA GONJWA GONJWA HASWA HIVI VISUKARI WANAKUWAGA NA JAZBA PLUS UZEE HAHAHAHA! MSAMEHENI BURE TU!!!
 
Back
Top Bottom