hakika mbowe ni kiboko kama chadema ilivyo kiboko.Sikuwahi kuona waziri mwenye jazba kivile.Hoja hujibiwa kwa hoja.Tatizo kubwa la serikali yetu hasa viongozi ni kushindwa kwenda na upepo wa mabadiliko,hasa kwenye suala la kujibu issue muhimu kwa kutumia hoja.
kuropoka kwa hasira hakusaidii.kufanya vile ni kujizalilisha,kukupunguzia credibility kwa umma,kukufanya uzaraulike hasa kwa vijana kama akina mbowe,kuonekana kama katuni kwenye media....This is hope less.
Kwa nini serikali nyingi za afrika huwa hazijfunzi kwa makosa.,,kwa nn hawana mtazamo wa nn wanaowaongoza wanahitaji????....hii no fedheha.
Sikutegemea wasira aoneshe UDHAIFU mbele ya kijana MBOWE kwa kiasi kile...SHAME UPON HIM...!!!!!!!!
USHAURI...Jamani viongozi wetu jifunzeni sana kujibu kwa hoja....Msijidharau mtadharauliwa..na mnapokuja kwenye media mjiandaye ,msikurupuke tu kutoka usingizini...
VIVA MBOWE........KWELI UNAZIDI KUKUWA KIBUSARA...I LIKE THAT WAY YOU WAS ACTING AGAINST Mr.MINISTER.S.W