msemakweli 1
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 290
- 68
Kwa hili nakutukana, nenda kule ohio street au kinondoni makaburini utapewa sadaka na wewe, mpuuzi usiye na haya wewe, fedha za uma zinaibiwa wewe unatetea!Tibaijuka ameshasema hiyo ni sadaka ya shule yake aliyopewa. Kumbuka Ruge ni wa Kagera na Tibaijuka ni wa Kagera, na asaidie wapi zaidi nyumbani> sadaka huanzia nyumbani.
Tibaijuka ana uhusiano upi na escrow? ni wapi alipooneshwa kuwa ka influence au kachochea chochote katika hilo?
Hata mimi ningepewa sadaka nisingekataa.