Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
Facts zipi zaidi, niliyosema na kuyatetea humu siku zote ndio hayo hayo aliyeyasema Kikwete, kipi hukukielewa nikuendelezee darsa.

Vipi ile lecture, ulikuwa unapiga porojo tu?
nakwambiaje mm nakuheshim sana ok......ila acha kutetea wezi ........
kuhusu lecture ni ipi sema
 
Mnasikiliza lakini hamsikii, mnasoma lakini hamuelewi, Mna-matatizo makubwa sana, na twayajuwa yako wapi.

Hao wezi wako wapi? fedha za IPTL walimuibia IPTL? au hujamsikai Kikwete akiliweka hilo wazi?

"Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto."

Umemsikia Kikwete akiliongea hilo? hapo ndipo utamjuwa FF ni nani.

Ulisema/Uliandika: HAKUNA ATAKAYEACHIA NGAZI
So far : Werema kaachia ngazi, Tibaijuka kapewa kibuti.

Mama tafuta kazi nyingine-Full stop.
 
Hao wezi wako wapi? fedha za IPTL walimuibia IPTL? au hujamsikai Kikwete akiliweka hilo wazi?

"Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto."

Umemsikia Kikwete akiliongea hilo? hapo ndipo utamjuwa FF ni nani.

fedha zitakuwaje za iptl wakati zimewekwa ktk acc ya escrow baada ya tanesco kugundua kuwa wanakuwa over charged?rais kachemka sana ktk hili,CAG mwenyewe hakuweza kusema direct kuwa zile ni pesa za umma au za iptl,alichokisema ni inawezekana mule kuna pesa za umma inawezekana vile vile mule kulikuwa na pesa za iptl,hoja ya msingi hapa ni iweje pesa zitoke wakati tanesco na iptl hawajamalizana?
 
Naona wewe hujasikiliza alichokiongea Kikwete.

Amesema "suala la capacity charge baina ya TANESCO na IPTL lilishatolewa uamuzi na ICSID" toka 2001.

TANESCO wakawa wanadhani wataambulia tena kupunguzwa capacity charges mwaka 2006 wakawa wanafanya "crisis management" nalo lilitokana na Ruge kusema mitambo uizwe na kila mtu achukuwe hisa zake yaishe, ikawa hakuna maamuzi na IPTL ikawekwa chini ya msimamizi (RITA) mpaka walipokubaliana na Ruge akabadili maamuzi na kufuta hiyo kesi ndipo wakakaa chini na kukubaliana na Utamwa akayatolea maamuzi hayo makubaliano yao.

Suala lingine lililokuwa ICSID ni baina ya TANESCO na Standard chartered? tena maamuzi yalikuwa "kakaeni chini mkubaliane".

Nini usichokielewa?
 
Wewe faiza huna lolote mpumvavu mwovu tu

Huyu Faiza humuelewi.Si kama hana akili. Akiwa sobber ana akili kwenye. Unachotakiwa kujua ni kuwa yeye kwa kuwa Rais na makamu wake ni waislamu, anaona kuendesha serikali ni mradi wa waislamu ambao unatakiwa kutetewa kwa kila hali. Ukisikia anayosifia serikali ya JK unaweza kuona kuwa hata JK mwenyewe anasema kuna baadhi ya dosari kwenye serikali, hapo ndio utaona Faiza ana akili ya F the country..hongerea JK, hongera dini.
 
Wewe faiza huna lolote mpumvavu mwovu tu

Wewe ambae si mpumbavu na si muovu ni nini tatizo lako? maamuzi yepi ya Kikwete hukuridhika nayo?

Ya kukataa kutaifisha mitambo ya PAP? hilo kishasema, siasa za Nyerere za Ujamaa na kutaifishana sasa hamna. Wazi Wazi, kinaga ubaga. Au hi;o hakulielewa pia?

Hiyo alipopanguwa azimio la kwanza. Kistaarabu kabisa.

Na ni kweli na nilisema humuhumu JF ukitafuta utapata, kuwa kutaifishana kumekwisha, tutaifishe tuone kasheshe lake, nikatoa mpaka mfano wa songombingo alilofanyiwa Nyerere na Tiny Rowlands, hamkunielewa.

Una lingine kwenye hili? au tusonge mbele?
 
wewe .. FaizaFoxy kwa style yako ya kutetea uwizi .....mtu kaama wee hata chumvi tusiombane mimi wewebukitaka msaada skupi hata sikumoja.....wafate mafisadi wakusaidie
 
Last edited by a moderator:

unajua maana ya serikali, ila elewa nchi hii haina rais wala serikali imara...... mpaka sasa tuna g..........a........y gvt tu na rais
 
fedha zitakuwaje za iptl wakati zimewekwa ktk acc ya escrow baada ya tanesco kugundua kuwa wanakuwa over charged?rais kachemka sana ktk hili,CAG mwenyewe hakuweza kusema direct kuwa zile ni pesa za umma au za iptl,alichokisema ni inawezekana mule kuna pesa za umma inawezekana vile vile mule kulikuwa na pesa za iptl,hoja ya msingi hapa ni iweje pesa zitoke wakati tanesco na iptl hawajamalizana?

Hamna over charged ni ubishi tu wa Tanesco. Ni ushauri mbovu tu ulokuwa wakipewa na Nkono & co.
Hawa Mkono walijua hakuna njia ya kuzila fedha za Tanesco ila ku create mgoogoro ...ambao utaendelea muda mrefu na wao wafaidike kuchota fedha za kesi ambayo wanajua wazi Tanesco haishindi.
Mkono akajichotea 73 billion na alitamani aendeleee.
Huyu huyu mkono ndio alikuwa na BOT katka kesi ya Valambia amekula fedha nyingi kuliko ujenzi wa Twin tower za BOT.
hivyo hoja hii over charge ni mbinu za mawakili wasio waaminifu kwa wateja wao.
Angeweza kabisa kuja na reasonable suggestion kwa iptl kupunguza gharama zile ...lakini alikuja na defence ya kitoto kabisa ati mtaji wa iptl ni 50000 ! Machine zile kujenga na miundo mbinu ni 50000 tu ...alikusudia kuitapeli Tanesco.
Fedha zile ni za Iptl zilicheleweshwa tu kupewa wenyewe kutokana na utapeli wa kina mkono
 
wewe .. FaizaFoxy kwa style yako ya kutetea uwizi .....mtu kaama wee hata chumvi tusiombane mimi wewebukitaka msaada skupi hata sikumoja.....wafate mafisadi wakusaidie

Huo wizi uko wapi? mnaaminishwa ujinga na nyinyi mnakubali?

Hivi mlitaka umeme wa bure? wale wawekezaji hawakuwekeza kugawa umeme wa bure. Waliwekeza kwa nia ya kuuza umeme.

Unakuwa kama upinzani? kutaka sifa kiulaini?

Fikiri.
 
Wewe ambae si mpumbavu na si muovu ni nini tatizo lako? maamuzi yepi ya Kikwete hukuridhika nayo?

Ya kukataa kutaifisha mitambo ya PAP? hilo kishasema, siasa za Nyerere za Ujamaa na kutaifishana sasa hamna. Wazi Wazi, kinaga ubaga. Au hi;o hakulielewa pia?

Hiyo alipopanguwa azimio la kwanza. Kistaarabu kabisa.

Na ni kweli na nilisema humuhumu JF ukitafuta utapata, kuwa kutaifishana kumekwisha, tutaifishe tuone kasheshe lake, nikatoa mpaka mfano wa songombingo alilofanyiwa Nyerere na Tiny Rowlands, hamkunielewa.

Una lingine kwenye hili? au tusonge mbele?

Nadhani ni wewe pekee uliebahatika kuweza kumwelewa JK. Ndio maana unakazana kuwaelewesha watanzania woooote hapa JF Anachokielewa Jakaya kwa watanzania kuhusu Escrow.
Nachoona unakazana nacho ni kama kubadili Giza kuwa Nuru kwa kutumia koroboi/ kibatari, yaani wewe peke yako ndio unaeona nuru kwenye kauli za JK na kutaka kutuimanisha kila asemacho Rais ni point.
Alipokuja kutoka kuleeee kwenye matibabu ya Tezi dume alisema hajui chochote kuhusu sakata la Escrow...... Leo ndio anaetoa data za tokea mwaka 2001. This is to make Tanzanians full sh't in our brains.
Unapomkodishi mtu eneo lako aweke mradi au kitega uchumi chake kwa faida yenu wote, mradi au kitega uchumi kile kikabadilika kuwa hasara kwako na kwa familia yako, utaendele kumlelea kisa unaogopa watu wengine watakatA kuja kuwekeza!!!!?' Kama nao ni walaghai na matapeli wasije kabisaaaa... Hatubembelezani kwa maswala ya wizi na utapeli.
Naona unalipwa hela nyinngi kujaza sever ya Jamii Forum kwa kutuaminisha utumbo kama sio mavi ya serikali hii na Escrow. Kazana Bibi.
 
unajua maana ya serikali, ila elewa nchi hii haina rais wala serikali imara...... mpaka sasa tuna g..........a........y gvt tu na rais

Sasa huko ni kubwabwaja na kuhororoja.

Kama nchi hii haina Serikali kwanini maazimio ya Bunge kapelekewa Kikwete na asipelekewe Mbowe au Lipumba?
 
fedha zitakuwaje za iptl wakati zimewekwa ktk acc ya escrow baada ya tanesco kugundua kuwa wanakuwa over charged?rais kachemka sana ktk hili,CAG mwenyewe hakuweza kusema direct kuwa zile ni pesa za umma au za iptl,alichokisema ni inawezekana mule kuna pesa za umma inawezekana vile vile mule kulikuwa na pesa za iptl,hoja ya msingi hapa ni iweje pesa zitoke wakati tanesco na iptl hawajamalizana?

Na hayo ya "capacity charge" hukusikia kuwa yalishaamuliwa a ICSID? au ulikuwa unasinzia na ndiyo umekurupuka?
 
Nadhani ni wewe pekee uliebahatika kuweza kumwelewa JK. Ndio maana unakazana kuwaelewesha watanzania woooote hapa JF Anachokielewa Jakaya kwa watanzania kuhusu Escrow.
Nachoona unakazana nacho ni kama kubadili Giza kuwa Nuru kwa kutumia koroboi/ kibatari, yaani wewe peke yako ndio unaeona nuru kwenye kauli za JK na kutaka kutuimanisha kila asemacho Rais ni point.
Alipokuja kutoka kuleeee kwenye matibabu ya Tezi dume alisema hajui chochote kuhusu sakata la Escrow...... Leo ndio anaetoa data za tokea mwaka 2001. This is to make Tanzanians full sh't in our brains.
Unapomkodishi mtu eneo lako aweke mradi au kitega uchumi chake kwa faida yenu wote, mradi au kitega uchumi kile kikabadilika kuwa hasara kwako na kwa familia yako, utaendele kumlelea kisa unaogopa watu wengine watakatA kuja kuwekeza!!!!?' Kama nao ni walaghai na matapeli wasije kabisaaaa... Hatubembelezani kwa maswala ya wizi na utapeli.
Naona unalipwa hela nyinngi kujaza sever ya Jamii Forum kwa kutuaminisha utumbo kama sio mavi ya serikali hii na Escrow. Kazana Bibi.

Niliandika hivi, siku nyingi sana, sikupata jibu, jee wewe unaweza kunipa jibu?

Wanasiasa uchwara wanawadanganya Watanzania kuwa pesa zimeibiwa na Watanzania wengi hawajui hata kwanini hizo pesa ziliwekwa Escrow account.

Nawashangaa sana Watanzania wanaotaka huduma ya bure. Umeme umefuliwa na unaendelea kufuliwa na ni lazima kuulipia, ulikuwa si wa sadaka ule.
 
Na hayo ya "capacity charge" hukusikia kuwa yalishaamuliwa a ICSID? au ulikuwa unasinzia na ndiyo umekurupuka?
Whatever the case kama ni za umma si za umma mtajiju wenyewe, sisi tulichokuwa tunataka wezi wote waondoke kwenye ofisi za umma.

nina swali moja tu kwako, hivi wamebaki wangapi?
 
Niliandika hivi, siku nyingi sana, sikupata jibu, jee wewe unaweza kunipa jibu?

Majibu yake ni kwamba umeme huo bei yake sio hiyo inayotakwa na IPTL!! Ndio maana wanamgogoro hadi hela inawekwa pending hadi wapatane.... TANESCO Wametafakari wakakuta wanailipa hela nyingi sana IPTL ndio maana wanalalamika kwa huduma ya mwekezaji huyo anayewachuna kupita kiasi cha huduma kisa yeye ni mwekezaji na JK ANASEMA WAWEKEZAJI WAHESHIMIWE hata kama wanafanya madudu na huduma zao na kulitia hasara taifa.
Wananchi hatujataka huduma ya bure, tunachotak ni huduma kwamalipo yanayolingana na uwezo wetu sio kuchunana... Sisi sio mabuzi...
Mwisho:- Hela hiyo kwenye account ya Escrow ndio ya kina Ajuza Tibaijuka na mapadre na Majaji??!!!! Ndio hapo tulikuwa tunaambiwa tukae tukubaliane nao kwenye malipo??!!! Hao ndio IPTL??!!
Mwekezaji mwezi na anayetuchuna na huduma zake hafai kwa watanzania. Tutakuwa tunanufaisha watu binafsi na mashirika ya nje huku tukiendelea kufa maskini Faiza jamani. Tuhurumie sisi wenzio kama wewe upo kwenye Neema, wenzio khali mbaya yakheeee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom