Hakuna askari aliyebeba Bunduki!

Wahenga hamtaki kabisa kukubali matokeo. Mpo nyuma ya keyboard, kazi kuwasakazia/kuwashawishi Gen Z/vijana waingie front kuhatarisha maisha yao.
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Kikawaida ipi hiyo unayosema
 
Punguza unafki.

Maandamano yako wewe na nani wakati unayapinga?

Wewe kimekuzuia nini kuwa mstari wa mbele?

Unafki tu ndo unachoweza.
Mimi nilishasema siwezi andamana.Ninaishi vizuri.Watoto wangu wapo shule nzuri. Ninafanya kazi.Siwezi pushiwa na Mange au Maria.Maria hana watoto,Mange hana wazazi,kazi hana anamtegemea mme wake.Sasa mimi ambae ndo mboni ya familia nikaandamane for what. Afterall nipo vizuri tu.Millenian mimi nilizaliwa kipindi amabcho ukimaliza chuo kikuu kazi kumwaga kabisa.
 
Sasa usitupangie tuandamane vipi.

Kaa ndani na mume wako mchezeane mpaka mchoke tuache sisi tupambanie vizazi vyetu navyo vije kuishi maisha ya uhakika sio haya ya kulazimika kuwa chawa ili utoboe.
 
Umeporwa uchaguzi ambao hukushiriki?
 
Nishiriki kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi ameshapangwa.
Hamuwezi ishinda CCM, wenzenu Wana matawi hadi vijijini, nyinyi ofisi za chama mijini chumba kimoja kama store ya mkaa
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Una akili sana , hata vitani spirit inakuwa kubwa General akiwa mstari wa mbele vitani
 
Kutokua na bunduki ina maana mbili

Nchi haina silaha za kutosha. Ufisadi umezidi , budget ya ulinzi haiendi Kununua silaha za kulinda nchi

Au wamemua kutotumia silaha. Mimi naamini Tanzania silaha hazitoshi. Kipindi cha uchaguzi29, wanajeshi kisingizio , hamna silaha

Haijabadilika kabisa.
 
Hamuwezi ishinda CCM, wenzenu Wana matawi hadi vijijini, nyinyi ofisi za chama mijini chumba kimoja kama store ya mkaa
Nani anatazama matawi siku hiz, labda wazee. Kama mngekuwa na uwezo wa kushinda kihalali msingefanya huu upuuzi. Zama hizi za digital, ofisi zimebaki ni za kufanyia majungu, ushirikina na kushinda majobless. Kizazi kimebadilika mmebaki na mitazamo outdated.
 
Pole sana, hujui hata umuhimu wa tawi,na unaamini watz wote wapo mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…