Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hahah[emoji23][emoji23]..tatizo humu uongo mwingi sana jirani [emoji1787][emoji1787]

Afu haya masihara ya kuitana wapenzi yanawacost wengi hawapati wenzi walio serious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi kuna mtu piem kila siku ananiambia, “Me ndo nakupenda kweli achana na drama za CW najua mnataniana” nacheka balaa
 
Humu kimasihara ndo naona nimeshika sana[emoji23]., kama zipo basi za wale members wasiofahamika sana...fanya muandike historia jirani [emoji4][emoji847]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza nchekeeee!!! Wa kuoa yuko wapi? Humu tunafurahi tu siku zipite sijaona serious relationship ni kulana kirikiboy [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom