Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,794
Dude u r rude....
Unanionea bure! Mimi niko polite na nina A ya adabu!
Nina mashaka na ukisemacho.....
From no where kumwita mwenzako rude ni lazima uwe na lako jambo, au una hasira za haya mambo ya serikali tatu!
Cko huko mpendwa me na siasa vtu viwil tofaut........
Nmesoma comment zako kutoka kwenye hii thread nikaguswa (in negative way) na response yako....
Kuna some matters kiukweli si za kubezwa the way u did....
But all in all tunarud kule kule no one is perfect or maybe this does not touch u in any way....
So una haki ya kuandika chochote ujisikiacho at the same time na mm nna haki ya kucriticise ukiongeacho...... Ni hayo tu.....
Kuna wengine hatukuumbwa kucomment mambo kwa mfumo wa kilokole, i am a man who call spade spade...and fine enough sword is a killing weapon, hakuna fantasy way ya kuliname ili kuondoa dhana yake! Anzisha blog yako sitaingia humo kucomment ila hapa si lazima tuchangie wote in romantic manner...karibu!
my love naomba uweke hii nitafurahia zaid je wewe waipenda? View attachment 149914
nichepuke niende wapi my only!!!
sipendi kutangatanga, Mimi Ni mume ya muhaya...
love u too!!
"Said I Loved You... But I Lied"
You are the candle, love's the flame
A fire that burns through wind and rain
Shine your light on this heart of mine
Till the end of time
You came to me like the dawn through the night
Just shinin' like the sun
Out of my dreams and into my life
You are the one, you are the one
[Chorus:]
Said I loved you but I lied
'Cause this is more than love I feel inside
Said I loved you but I was wrong
'Cause love could never ever feel so strong
Said I loved you but I lied
With all my soul I've tried in vain
How can mere words my heart explain
This taste of heaven so deep so true
I've found in you
So many reasons in so many ways
My life has just begun
Need you forever, I need you to stay
You are the one, you are the one
[Chorus]
You came to me like the dawn through the night
Just shinin' like the sun
Out of my dreams and into my life
You are the one, you are the one
[Chorus]
Said I loved you
But this is more than love I feel inside
Said I loved you... But I lied
For you honey Eli79
whooooah!! Thanx darling..
..nataka uniimbie sikioni..
Hapa umegusa panapo tena humu ndiyo asilimia kubwa wako hivyo kuna watu wanajiita timu vibamia na timu magobole sikujua mantiki yao nini maana Mungu alipokuwa anatoa vibamia na magobole alizingatia na mahitaji yake kwamba si kila mwanamke anahitaji gobole na si kila mwanamke anahitaji kibamia Mungu alibalance,halafu huu mtindo umeibuka humu watu wanakosoana maumbile zaidi tena ya ndani lakini wanasahau Mungu aliumba mrefu,mfupi,mwembamba mnene,mweupe mweusi na lazima ujue hakuna aliyekamilika akawa na vyote haiwezekani kila mtu anakasoro yake,Tusijiumbie watu wetu wenyewe hatuwezi pata kama ni mwanamke utazidichezewa na mwanaume utazidi kujichosha maisha yenyewe mafupi haya tusimkosoe Mungu alituumba hivi kwa makusudi yake!
Hata ningekuwa na kibamia mkuu ilimradi kinafanya kazi kama inavyotakiwa mbona hamna shida,ili mradi kiwe na uwezo wa kumtungisha mimba mwanamke,kiwe na uwezo wa kumpa haki yake kisawasawa wewe unaona tatizo lake liko wapi? tatizo mmekariri eti ukiwa na muhogo ndo unaweza kumpa raha mwanamke la hasha labda wale wanawake wanaohangaika na saizi ya uume ambao nao mwisho wa siku wanahitaji mwanaume muwajibikaji,hebu fikiria una muhogo halaf hauwezi kuhimili hata dk 15 juu ya kifua cha mwanamke kuna raha hapo au ndo masikini huwezi kutungisha mimba unafikiri atafurahia muhogo wako? performance ya kitandani wala haitegemei saizi ya uume ni kujisumbua na kujipa stress zisizo na msingi,Mungu ameumba vyote vibamia na mihongo kwa mahitaji maalumu hilo unatakiwa ujue,ndiyo maana hata upande wa wanawake wapo wenye uke mkavu,wapo wenye maji mengi wapo wa wastani wote mungu ameumba hakuna aliyejiweka katika hali hiyo....nitoe tena shukrani kwa mtoa maada kwa kutukumbusha hili maana wengi wetu tumezoea kumkosoa Mungu,Hivyo ulivyo haukujiumba mshukuru Mungu kwa vile ulivyo kuliko kukosoa.Wee Daudi weee!
Kama we kibamia useme mapema usitafute sympathy hapa!
oh wow!!! nice picture.. hii nimeiweka kama wallpaper kwenye PC yangu... ngoja nione namna ya kuiweka huku..
uliniambia kuwa umeolewa, lakini hujasema umeolewa na nani?
Hata ningekuwa na kibamia mkuu ilimradi kinafanya kazi kama inavyotakiwa mbona hamna shida,ili mradi kiwe na uwezo wa kumtungisha mimba mwanamke,kiwe na uwezo wa kumpa haki yake kisawasawa wewe unaona tatizo lake liko wapi? tatizo mmekariri eti ukiwa na muhogo ndo unaweza kumpa raha mwanamke la hasha labda wale wanawake wanaohangaika na saizi ya uume ambao nao mwisho wa siku wanahitaji mwanaume muwajibikaji,hebu fikiria una muhogo halaf hauwezi kuhimili hata dk 15 juu ya kifua cha mwanamke kuna raha hapo au ndo masikini huwezi kutungisha mimba unafikiri atafurahia muhogo wako? performance ya kitandani wala haitegemei saizi ya uume ni kujisumbua na kujipa stress zisizo na msingi,Mungu ameumba vyote vibamia na mihongo kwa mahitaji maalumu hilo unatakiwa ujue,ndiyo maana hata upande wa wanawake wapo wenye uke mkavu,wapo wenye maji mengi wapo wa wastani wote mungu ameumba hakuna aliyejiweka katika hali hiyo....nitoe tena shukrani kwa mtoa maada kwa kutukumbusha hili maana wengi wetu tumezoea kumkosoa Mungu,Hivyo ulivyo haukujiumba mshukuru Mungu kwa vile ulivyo kuliko kukosoa.