Hakuna aliyejiumba!


Haya ndo yanayopelekea wasichana kufanya mambo ya ajabu miilini mwao...
 
Last edited by a moderator:

Tyta come this way please uje utuwekee picha ya kagelofrend ka huyu jamaa maana naona amekuwa too difensive, seem ameshaoa nun refundable wife na manufacture amekataa kuwa responsible!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mtu mbaya ni mazingira tu mtu aliyonayo.
Akipata kutulia anapendeza vizuri tu, pia ni kushukuru na kuridhika na Mungu alivyokuumba.
Ana makusudi yake kumuumba kila mtu jinsi alivyo.
 
thanks Horseshoe Arch but mind you this siko hapa kwa ajili ya ligi na mtu yeyote just kuelimishana tu nice day mkuu.
Tyta come this way please uje utuwekee picha ya kagelofrend ka huyu jamaa maana naona amekuwa too difensive, seem ameshaoa nun refundable wife na manufacture amekataa kuwa responsible!
 
yeah ni kweli uyasemayo lakini hata ikitokea unaona mtu fulani ni mbaya sio nafasi ya kuanza kushusha,kumdharau au kumbagua hata yeye hakupenda kuwa hivyo.
Hakuna mtu mbaya ni mazingira tu mtu aliyonayo.
Akipata kutulia anapendeza vizuri tu, pia ni kushukuru na kuridhika na Mungu alivyokuumba.
Ana makusudi yake kumuumba kila mtu jinsi alivyo.
 
Kuna wengine hawana uzuri wowote, ila wanajua kukosoa wenzao hatari.
Hakuna mkamilifu duniani.
 
nimependa sana udadavuzi wa kina ulioutoa mkuu PetCash na nadhani uko sahihi kabisa kwa kila ulichostate naomba niseme nakuunga mkono
 
Last edited by a moderator:
hao pia niliwaweka mwanzoni kabisa mwa utangulizi mwa thread hii na nikahitimisha kwa kusema si tabia nzuri kuwashusha kuwadharau na hata kuwabagua watu kwa ajili ya mionekano yao kwani hakuna aliyejiumba.
Kuna wengine hawana uzuri wowote, ila wanajua kukosoa wenzao hatari.
Hakuna mkamilifu duniani.
 
nun refundable wife ndo wa namna gani?
Tyta come this way please uje
utuwekee picha ya kagelofrend ka huyu jamaa maana naona amekuwa too
difensive, seem ameshaoa nun refundable wife na manufacture amekataa
kuwa responsible!
 
Last edited by a moderator:
Wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, sisi sote tu wana wake.
 
Kuna kitu watu wengi hawakijui,
Mungu alipokuwa anaumba maumbo tofauti alikuwa na maana yake,
Kwa mfano mimi napenda wanawake wenye miili makubwa,kuna mwingine anapenda vimbaumbau,kuna mwinginea anapenda ma big mama,
Mimi napenda wanawake weusi natural,kuna mwingine anapenda weupe pee waliojichubua kwa pumba za mchele,
Hivyo basi anaedharau mwingine naye kuna wanaomdharau vilevile,
Tumsifu Mungu kwa kutuumba na Mahitaji yasio fanana.
 
Yeah uko sawa mkuu na wala haipendezi kumbagua na kumnyanyapaa binadamu mwenzio eti kwa kuwa tu unamwaona ana mwaonekano mbaya.
Wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, sisi sote tu wana wake.
 
Binaadamu wote ni sawa achilia mbali madaraja uchwara tunayojipa na kuona wengine hawafai au kama ingewezekana wasiwepo hapa ulimwenguni, wewe nani hadi uhukumu?

Ndio maana na jeuri zetu zote tumepatikana kwenye kifo, hadi raha.

Haki sawa hakuna mimi fulani, mimi vile, wote tunang'oka tofauti siku tu
 
Ongezea -

Ndio maana tukaumbwa kwa rangi tofauti pia (muAfrika, mdhungu, mwarabu, mchina n.k) ili tupate kujuana, tatizo itikikadi zetu za kibinaadamu zimetuharibu kiasi kwamba sisi binaadamu tunanyanyapaana/tunabaguana wenyewe kwa wenyewe sababu ya rangi tu
 

Si ttu kwamba hakuna aliyejiumba, ila pia hakuna kilichojiumba.
 
Dogo Blue G hongera kwa hotuba yako ndefu mimi bado nina ule uvivu wa kusoma parefu, lakini bado hakuniondolei kuelewa nini unamaanisha. Namshukuru Mungu kwa kazi aliyoifanya juu yangu (sijisifu) mwonekano wangu uko sambamba na tabia yangu, hii ni kwa kuwa natambua kuwa aliyenipa mimi ndiye aliyemnyima Blue G na kwa mapenzi yake aweza kubadilisha apendavyo.
 
ushaona ee ndugu yangu yaani hapo ndo mwisho wa mambo yote na licha ya hayo hao wenye kudharau wenzao hata hawajiulizi ikiwa wao wanavuta hewa ya pekee au wanakula chakula cha pekee kwa kuwa wao wanajiona kuwa ni bora kuliko wenzao!!!!!!!!!!!!!!!!
 
asante sana kwa kunielewa my dada nafurahi kusikia hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…