Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,028
Ukikutana na MENDE barabarani, kwa jinsi anavyokuwa msafi huwezi amini kama analala juu ya kinyesi kule chooni ............. Ndivyo nikutazamavyo wewe, stinger na wengine wafananao na nyie........Alaaaah!! kwahiyo unataka kusema jamaa wamem..ra? tungoje tuchunguze tembea yake
Alaaaah!! kwahiyo unataka kusema jamaa wamem..ra? tungoje tuchunguze tembea yake
Very straight forward statement,Ukikutana na MENDE barabarani, kwa jinsi anavyokuwa msafi huwezi amini kama analala juu ya kinyesi kule chooni ............. Ndivyo nikutazamavyo wewe, stinger na wengine wafananao na nyie........
Leo naona jiji la Arusha litarindima kwa shangwe na furaha. Yaani CCM itabidi ijiulize kama Lema kwenda gerezani kajinukisha au kajisafishia njia ya kura zaidi?Vijana ndo wanaingia hapa mahakaman na bodaboda nying kwa mbwembwe za kila haina wakiwa na masale wakimaanisha aman. Watu ni wengi sana na ndo tunamsubiria mwari wetu mpendwa lema haingie. Nasikia barabara zote mjin kati zimejaa watu na polis wamekosa njia ya kumpitisha mana itakuwa maandaman. Akifika ntawajuza nawasilisha. Natumia cm hivyo technolojia ya kuattach picha sijaiweza.
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..
Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo
mie kama kuna wanaume siwapendi ni mapolisi bora hata msukuma mkokoteni.yaaani polisi wanafanya kazi kama hawana ubongo..ndo maana nilikwepa sana kuoa mke polisi...maana madhara yake ndo haya
Vipi intelejiensia haijawaona ALI na Shabab??