Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,086
- 7,097
Kimenuka, Mwanaume akijiepushe na maswala ya Mbunye anakuwa ameepuka mambo mengi sanaNahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha.
Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris Saint-Germain kwa kumbaka nyumbani kwake katika eneo la Paris mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 24. Hakimi amekanusha tuhuma hizo tangu mwanzo.
Mahakama ya rufaa ya Ufaransa imekataa rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kufikishwa mahakamani, hivyo kesi hiyo sasa itaendelea kusikilizwa katika mahakama ya jinai. Hata hivyo, tarehe ya kuanza kwa kesi bado haijatangazwa.
Hakimi amesema anasubiri kwa hamu kusikilizwa kwa kesi hiyo ili aweze kutoa upande wake wa simulizi hadharani, huku mawakili wake wakisisitiza kuwa hana hatia.
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
Hawa mastaa huwa wanabakaje?Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha.
Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris Saint-Germain kwa kumbaka nyumbani kwake katika eneo la Paris mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 24. Hakimi amekanusha tuhuma hizo tangu mwanzo.
Mahakama ya rufaa ya Ufaransa imekataa rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kufikishwa mahakamani, hivyo kesi hiyo sasa itaendelea kusikilizwa katika mahakama ya jinai. Hata hivyo, tarehe ya kuanza kwa kesi bado haijatangazwa.
Hakimi amesema anasubiri kwa hamu kusikilizwa kwa kesi hiyo ili aweze kutoa upande wake wa simulizi hadharani, huku mawakili wake wakisisitiza kuwa hana hatia.
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
Huyo Malaya mwingine yupo kazini hapo anatafuta pesa ya mwanaume kwa njia ya mkato.Kimenuka, Mwanaume akijiepushe na maswala ya Mbunye anakuwa ameepuka mambo mengi sana
Huu uonevu hatutakubali. Hizi tuhuma dhidi ya Hakimi ni chuki. Hatutakubali Ashraf Hakimi kuonewa. God bless and protect Ashraf Hakimi.Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha.
Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris Saint-Germain kwa kumbaka nyumbani kwake katika eneo la Paris mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 24. Hakimi amekanusha tuhuma hizo tangu mwanzo.
Mahakama ya rufaa ya Ufaransa imekataa rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kufikishwa mahakamani, hivyo kesi hiyo sasa itaendelea kusikilizwa katika mahakama ya jinai. Hata hivyo, tarehe ya kuanza kwa kesi bado haijatangazwa.
Hakimi amesema anasubiri kwa hamu kusikilizwa kwa kesi hiyo ili aweze kutoa upande wake wa simulizi hadharani, huku mawakili wake wakisisitiza kuwa hana hatia.
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
Hakimi anasingiziwa tu.Hawa mastaa huwa wanabakaje?
Na huo ndo ukweli. Haya mizungu sometimes sijui tunapendaga kuyatetea humu jamvini. Mannequin sana.Wanamuonea tu hao wanawake wa kizungu ni matapeli tu. Bure kabisa.
Aliyekuambia ushahidi wa kubaka niKwahiyo ili Tobo toka 2023 bado lina ute wa hakim.! Njaa mbaya
Kesi zote za mastaa za ubakaji ni za kutengenezaHawa mastaa huwa wanabakaje?
Kuonewa sio ukweli, ila hawa mabinti wa kizungu huwatumia kama uchochoro wa kupiga pesa. Rejea ya Mendy wa Man City na Thomas Partey.Wanamuonea tu hao wanawake wa kizungu ni matapeli tu. Bure kabisa.
Karim Benzama hakusingiziwa ilikuwa ni ukweli. Yeye na Ribbery walimchukua bonti na kupiga mtungo. Ribbery alikiri ni kweli tukio lilitokea ila binti hakuwa under age, Benzema alikanusha kuhusika.Kesi zote za mastaa za ubakaji ni za kutengeneza
Ronaldo
Karim Benzema
Eto
Na wengine wengi