Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,860
- 172,509
Ana hamu huyoUnamuita Evelyn Salt BIBI?
Anyway Siri ya mtungi aijuae kata...
Ana hamu huyoUnamuita Evelyn Salt BIBI?
Anyway Siri ya mtungi aijuae kata...
nikifia huko haina nomaa
Wanachonipendea wakikuambia utawapa??
Acha wivu wa kidada utakalishwa kwenye kitu chenye ncha kali bureee
Ana hamu huyo
James delicious tu huyoAnataka atajwe yeye.
HahahahaaaaWanachonipendea wakikuambia utawapa??
Acha wivu wa kidada utakalishwa kwenye kitu chenye ncha kali bureee
James delicious tu huyo
ungeweka na kapicha tu;
hii lugha inautata mkuuu ina maana unauza papuchi [emoji23][emoji23][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwambie pesa yake tu napatikana
Tukimbizane nini *** wangu,
Hiyo michezo ya jogoo,
Mbona watizama chini ***, ukimwona jongoo...
Inama kidogo shika magoti.....
Mtoto JOJO sio roboti!! [HASHTAG]#Kweli[/HASHTAG] mapenzi raha ukijifanya chizi
we endelea kunyumbulisha maneno tu roho yako itakayopenda hiyo hiyohii lugha inautata mkuuu ina maana unauza papuchi [emoji23][emoji23][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimeuliza tu sikuwa namaanisha kama ni hivyo ni kugeuss miss chaggawe endelea kunyumbulisha maneno tu roho yako itakayopenda hiyo hiyo
hata mimi nimekulewa mkuunimeuliza tu sikuwa namaanisha kama ni hivyo ni kugeuss miss chagga
Haya mapenzi yangekuwa kwenye walii, nisingeulaaaa
Ningeuacha ulale
Nikiamka umechacha
Niumwage kabisaaaa
Mzee unamashairi hatare...Mapenzi ni zaidi ya upofu, huoni mbele japokuwa unamboni
Akiwashwa namkuna, kwa ukucha wa kibabiloni.
Naye bila hajizi, hujikoholesha kwa huba penzi likimpalia.
hakika nimefunda acha nitoe harufu ya penzi lako