Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Hahahaaaaa, daaah basi sawaHata uchache utupwe nitajigeuza kuku niudonoe donor kwa utamu nilioupata. hakika mkuu nimekamatwa.
Hahahaaaaa, daaah basi sawaHata uchache utupwe nitajigeuza kuku niudonoe donor kwa utamu nilioupata. hakika mkuu nimekamatwa.
Hahahaaaaa, daaah basi sawa
Aisee hili bonge la ujumbe. Hakika hapo ndo wanasema kuwa raha ya mapenzi ni kumpata umendea matakao endana katika kila kitu
Nishamwaga mkuu, unajua wali ulochacha ulivyo na kaharufu, by the way raha ya wali uule kwa mkono ile ukiufinyanga kama tonge la ugali ndo raha yake.Ila wako usiumwage mkuu, niwekee kwenye Sinia. sijui utaniruhusu kula na kijiko au mkono?
Mzee unamashairi hatare...
Haya maneno ni kwa huyu tuu and ndo chovya chovyaa...
Nishamwaga mkuu, unajua wali ulochacha ulivyo na kaharufu, by the way raha ya wali uule kwa mkono ile ukiufinyanga kama tonge la ugali ndo raha yake.
Sijui umeelewa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Basi ninawishe na lako penzi, mikono itakate kwa zako tenzi.
Nitafunapo lako huba nisione ugumu kwa yangu meno
Kuumeza ndio jawabu, tumboni takusubiri
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We nichangamoto, mkono mtupu haulambwi mkuuHahahaha!!
Wakimbia kimaringo mithili ya kuch kuch hotae,
Wapenda hyo midundo kukimbia kwa wako mwendo.
Takusubiri mpaka mwisho wa dahari
Wanachonipendea wakikuambia utawapa??
Acha wivu wa kidada utakalishwa kwenye kitu chenye ncha kali bureee
We nichangamoto, mkono mtupu haulambwi mkuu
Wahenga wana akili sana aiseeHahahaaa!!
kumbe mambo ya pesa yalianza tokea kipindi cha Wahenga.
Huyo Mhenga aliyesema Mkono mtupu haulambwi nadhani ni kutoka kwakina Miss Chagga
.....sijui kama ulichukua rambi rambi zako kabisa maana kwali nilikufa siku nyingi.....[emoji23] [emoji23] nimependa hapo.....Hongera kuwa kwenye Penzi tamu mkuu......hii inatoa Tumaini kwa vijana kuwa bado Good Ladies wapo.
Hivi kuna malaika wa kike???[emoji22]Huyu mtoto ni shida mkuu, yaani mambo yake sio ya kidunia, unajua kwa Mara ya kwanza nilifikiri nimeona Malaika, Yaani alivyo ni kama malaika aliyeomba hifadhi kunako dunia yetu. Na hapa amefika ubalozini
Msamehe bure tu hahahaAna hamu huyo
Hivi kuna malaika wa kike???[emoji22]