josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
Promo zote zile, mbwembwe zote mlivyotuuzisha sura kwa wananchi, tunawaeleza nini ndg zetu waamini tumeongezwa elfu 30???
Binafsi sijashangaa maana sijawahi kuwa na imani na yule mnyiramba, ana kiburi kweli kweli na mbaya zaidi ni kipenzi cha maza.
Tutalipiza huko makazini.
Binafsi sijashangaa maana sijawahi kuwa na imani na yule mnyiramba, ana kiburi kweli kweli na mbaya zaidi ni kipenzi cha maza.
Tutalipiza huko makazini.