mkushi wa kushi
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 657
- 995
MamaaaeeehAcheni kulialia, tunawasubiri huku mtaani tupandishe kodi za nyumba….. mishahara si imepanda bhana.!




MamaaaeeehAcheni kulialia, tunawasubiri huku mtaani tupandishe kodi za nyumba….. mishahara si imepanda bhana.!




Mbunge wangu mishipa ya shingo ilimtoka kushangilia huu upuuzi,Promo zote zile, mbwembwe zote mlivyotuuzisha sura kwa wananchi, tunawaeleza nini ndg zetu waamini tumeongezwa elfu 30???
Binafsi sijashangaa maana sijawahi kuwa na imani na yule mnyiramba, ana kiburi kweli kweli na mbaya zaidi ni kipenzi cha maza.
Tutalipiza huko makazini.
Alisema ataongeza mishahara sio kwa kima Cha chini tu.... Watumishi wote... Akataja kiwango kwa kima Cha chini kuwa 23.3% wengine wangepata chini kulingana na madaraja Yao.. hivyo kama ilivyokuwa nyongeza nyingine wengine wangepata 23.2%,23.1%,23%,22.9%,22.8%,22.7%......... Hadi 5%,4.9%..... katika kumbukumbu zangu haijawahi kutokea ongezeko chini ya 6% katika historia niikumbukayo katika utumishi wa umma..... Ni haya maajabu ya mwaka huu !!!!!hakuna mtumishi aliye punjwa
uelewa mdogo wa somo la hisabati ndiyo tatizo pale
kima cha chini wamefaidika
na ndiyo walengwa wa hilo.
kabla hujalalamika ungeisoma kwanza barua yako ya ajira ili ujue unapaswa kuongezewa shiling ngapi kwa mwaka.
Barua yako ya ajira ilisema utaongezewa ngapi kwa mwaka?Alisema ataongeza mishahara sio kwa kima Cha chini tu.... Watumishi wote... Akataja kiwango kwa kima Cha chini kuwa 23.3% wengine wangepata chini kulingana na madaraja Yao.. hivyo kama ilivyokuwa nyongeza nyingine wengine wangepata 23.2%,23.1%,23%,22.9%,22.8%,22.7%......... Hadi 5%,4.9%..... katika kumbukumbu zangu haijawahi kutokea ongezeko chini ya 6% katika historia niikumbukayo katika utumishi wa umma..... Ni haya maajabu ya mwaka huu !!!!!