Hakika Watanzania wengi hasa vijana hatupendi kufanya kazi

Kuna pesa niliipata nikawaza kuliko kutegemea mshahara bora nifanye mpango nipate biashara japo ya kunilipa elfu 3 per day

Sasa huku kitaa kuna vijana wanatembeza mishikaki mitaani kwa kutumia tolori. Nikamuona mmoja nikawa namdadisi kuhusu abc za hiyo biashara akanipa kwamba toroli anakodi kwa sku 1000, jiko na kabati kwa sku 1000, mtaji wanakopeshwa 20000 na kila sku anapeleka 1000 kama rejesho.

Nikamwambia mi nahitaji mtu wa kufanya hiyo kazi kjana akanambia hata yeye yuko tayari maana ye anataka kufungua kijiwe cha chips kama vp nimuwezeshe afungue

Nikamwambia sawa tukapga hesabu ya vifaa vyote vya kuchomea chips tukaenda nunua maana na mahali pa kuchomea alikuwa kashapata
tukakubaliana kwa sku anilipe 3000 tu.

Hapo nmempa na mtaji wa 30000 huku nmemkabidhi kila kitu kasoro viazi na mafuta tu maana huku 1kg ya viazi ni shs 700 tu na mafuta lita ni shs4000 tu.

Kijana sku ya kwanza nikampa free tu. Kesho yake nmetoka kazin napita pale kwenye kijiwe chake nashangaa simuoni na nilimpa mpk na simu maana hakuwa na simu ili tuwe tunawasliana simu nayo ikawa haipatikani

Baadae nilimpata akanambia iliishiwa chaji hapo ilikuwa usku cha ajabu nikamkuta ana toroli la mishikaki tena inshu cha chips hakufanya sku iyo.

Nikamulza mbona leo hujafungua akadai sku aliyochoma chips yan jana yake aliuza sahani 2 tu na zkabaki sa akaona anapoteza muda bora aingie kitaa tu achome mishikaki chips atakuwa anachoma usku. Nikamwambia sawa

Toka sku iyo skuwahi muona amefungua kijiwe zaidi anatembea na tolori la mishikaki vifaa tulivyonunua vya chips kaweka ndani kachukua kabati la aluminium na jiko na sahan ndo anatembea navyo
Mi skujari maana nilitaka anipe hesabu yangu tu ya sku.
Sasa jana kijana nmekutana nae anipe hesabu yangu analalamika biashara ngumu hiyo ya mishikaki nikamulza mtaji uko wp maana mi nilikukuta unafanya hii biashara mtaji wako na mimi nilikupa 30000 je zko wp

Kaanza story mara ana family ndo anategemea hapo hapo kwaiyo nikamulza umebakza shs akadai yan hana hela kabisa zaidi ya mishikaki aliyokuwa nayo ya shs elfu 6 tu.

NB: Nimekumbuka nilinunua na tolori ili asiwe anakodi toroli. Baada ya kunipa wazo la kutembeza mishikaki asbh na mchana halafu jion ndo achome chips

Tuendelee halafu ananiambia mishikaki ya ng'ombe hailiwi sn kama ya mbuzi sasa nimpe hela anunue mbuzi ndo achome mara nimkopeshe hela ya 2kg za nyama nje ya hela yamtaji niliyompa elfu 30. Aisee nilichoka kbs kbs wakuu

Hapa nawaza nikitoka kazn nimnyang'anye vifaa vyangu tu vyote maana nmemsaidia hasaidiki hapo hata biashara haina wk ameanza upuuzi

Nilichojifunza watz wengi wetu ni wepesi wa kulaumu lakin hatupendi kufanya kazi kabisa aisee wavivu tunapenda kuajiliwa tu

Wapo watu wanasema vjana wanaograduate wapewe mikopo wafanye biashara lakin mi naona watafungwa tu kwa madeni hakuna atakayeweza rejesha mkopo wengi wao.

Haya wakuu naomba mitazamo yenu hapa
vijana wengi wa kitanzania hata wazee wazima utawakuta wamekaa vijiweni wana kunya kahawa wana cheza draft na kulalamika tu ndio kazi yao, ukiwambia njoeni huku kijijiji tulime, hawataki.
wanataka kitonga.
 
Mkuu hapa unafanya research na nu statistics imebezi kwenye probability.
Na probability ili results nzuri lazima large number of sample space imetake place.
Mfano flip coin game ni 50/50 game.
Aliye flips 10,100,1000 matokeo Yao yatakuwaje ujue.mwenye large number of events ataanza kuikaribia iyo 50% of getting heads or tails both equally happening.
Mana katika rows unaweza ukapata 7 heads consecutively so sio kuwa ni 50% hapana Ila Ina play part kwenye large number ofe events.
Do you know why basi ngoja niishir hapa
 
Maeneo ambayo vitu ni bei rahisi namna hio hamna mzunguko wa hela! Utalaumu sana watu ndio maana watu wanaparangana kuja Dar!

Sehemu kama hio utatoka lini kimaisha utachelewa sana hata kukuza mtaji! Ila miji mikubwa inatakiwa kujibana kidogo tu ukiweza kuji squeeze ukapunguza matumizi yasio ya lazima pesa unaiona haraka tu hasa kama una channel imenyooka!
Bado hukunielewa mi nilimkuta njian anauza mishikaki toroli amekodi, kabati na jiko amekodi, mtaji amekopa na kila sku vyote alikuwa anapeleka elfu 4 na alikuwa na miez 7 anafanya hivyo
Unaposema mzunguko ni mdogo wa hela pia ukumbuke maisha yako chini
Unaposema dar mzunguko mkubwa ukumbuke na maisha yako juu
Dar watu wanaishi maisha magumu sn watu wanastaafu hawana hata kiwanja
Lakin huku kuna vjana wana saloon tu wana miji yao tena nyumba ya kueleweka si ili mradi sa kati ya kijana aliyeko huku na nyumba yake na kaz yake ndogo
Na yule aliyeko dar hata kodi tu ya chumba shughuri hana mbele wala nyuma eti ksa dar kuna mzunguko wa hela. Dar na pa don tu wengne wasndkzaji uzuri dar mi nmesomea huko nmeishi huko na ndo home maana mzee wangu anaishi huko miaka nenda rudi ni mstaafu wa bandari so huwez nidanganya kitu

Kuhusu tatoka lini huo ni uzwazwa we kwa akili yako unadhan watu walioko huku ni hoe hae kwa taarifa yako mi mwnyw nipo vzuri sn mara mia ya vjana wengi walioko huko dar sina njaa ila nna njaa ya kumiliki gari tu ila basic needs si swala la kuzungumza kwangu lilishaisha
 
Mkuu hapa unafanya research na nu statistics imebezi kwenye probability.
Na probability ili results nzuri lazima large number of sample space imetake place.
Mfano flip coin game ni 50/50 game.
Aliye flips 10,100,1000 matokeo Yao yatakuwaje ujue.mwenye large number of events ataanza kuikaribia iyo 50% of getting heads or tails both equally happening.
Mana katika rows unaweza ukapata 7 heads consecutively so sio kuwa ni 50% hapana Ila Ina play part kwenye large number ofe events.
Do you know why basi ngoja niishir hapa
Jamaa na hayo mambo yako ya kwny makaratasi mi hayanisaidii kabisa kwangu ni ujinga ujinga tu na haya ndo yamewaponza vjana wa kitanzania wengi hasa wanaoishi dar maneno meengi hana hata nauli ya daladala mi naona umeandka pumba tu maana kama kusoma pia nmesoma BA.Public Administration lakini sjaona cha maana hata hapa nnapofanya kaz hakuna kinachonisaidia kupitia degree yangu zaidi nilipataga kaz dar kwny kampuni la kukodsha magari nikakutana na mzungu mmoja ndo akanikochi mambo mengi ya kiofs ndo huo uzoefu unanibeba miaka na miaka
 
Kuna mama alikuja kunililia shida nimpe mtaji wa mama ntilie atakuwa ananipa 10,000 kwa siku , nilimpa laki 9 anunue vifaa ila Kodi ya hiyo sehemu alilipia yeye.

Sikuwahi kupata hata 100 na simu nikawa simpati japo kwao napafahamu.

Kama anasoma humu ajue hela ya mwanaume mtafutaji huwa haiendi bure, muda wake unakuja.

Wabongo wengi miyeyusho japo waaminifu wapo ila uwatafute Sana.
 
Naona unayapiga teke kisa tu hayakusaidii Ila ndio ukweli.
Hao vijana una research ama unaongea kwa reference gani ama ni hearsay.
Kama kuona ni wangapi umeona
 
Ndugu mi si mjinga mpk kumpa hiyo elfu 30 umenielewa na inategemea uko wp pia

Huku 1kg ya viazi ni 700 tu mafuta ni 1lita ni 4000 tu.
Hapo nimempa kila kitu ukumbuke alikuwa anafanya hiyo biashara kwa mtaji wa elfu 20 tu hapo anakodi toroli, jiko, kabati kwa sku vyote alikuwa analipia elfu 3000 pamoja na rejesho la mtaji wa elfu 20

Mi nilimpa kila kitu akawa na miradi miwili kwa wakati mmoja mradi wa chips na mradi wa kuchoma mishikaki. Hakuna amefanya.

Huku 1kg ya nyama steki ni elfu 5 tu, mbuzi mzma ni elfu 30 unapata hebu nambie hapo

Unaposema elfu 30 ni ndogo angalia ndogo ukiwa wapi
Huku mkungu wa ndz ni 1500 tu
Fungu la mboga shs 100 tu
Nyanya fungu shs 200 tu
Vitunguu vmejaa
Room kuanzia elfu 10 unapata cha umeme kbs

Na ni mjini bus znazokwenda dar, arusha, kilimanjaro znapta hapa stand

Kwaiyo uskurupuke tu maana mi nmefanya kitu kwa kumskiliza yeye hakuna nilichomuamulia
Mku ni wapi huko mbuzi 30
 
Kuna pesa niliipata nikawaza kuliko kutegemea mshahara bora nifanye mpango nipate biashara japo ya kunilipa elfu 3 per day

Sasa huku kitaa kuna vijana wanatembeza mishikaki mitaani kwa kutumia tolori. Nikamuona mmoja nikawa namdadisi kuhusu abc za hiyo biashara akanipa kwamba toroli anakodi kwa sku 1000, jiko na kabati kwa sku 1000, mtaji wanakopeshwa 20000 na kila sku anapeleka 1000 kama rejesho.

Nikamwambia mi nahitaji mtu wa kufanya hiyo kazi kjana akanambia hata yeye yuko tayari maana ye anataka kufungua kijiwe cha chips kama vp nimuwezeshe afungue

Nikamwambia sawa tukapga hesabu ya vifaa vyote vya kuchomea chips tukaenda nunua maana na mahali pa kuchomea alikuwa kashapata tukakubaliana kwa sku anilipe 3000 tu.

Hapo nmempa na mtaji wa 30000 huku nmemkabidhi kila kitu kasoro viazi na mafuta tu maana huku 1kg ya viazi ni shs 700 tu na mafuta lita ni shs4000 tu.

Kijana sku ya kwanza nikampa free tu. Kesho yake nmetoka kazin napita pale kwenye kijiwe chake nashangaa simuoni na nilimpa mpk na simu maana hakuwa na simu ili tuwe tunawasliana simu nayo ikawa haipatikani.

Baadae nilimpata akanambia iliishiwa chaji hapo ilikuwa usku cha ajabu nikamkuta ana toroli la mishikaki tena inshu cha chips hakufanya sku iyo.

Nikamulza mbona leo hujafungua akadai sku aliyochoma chips yan jana yake aliuza sahani 2 tu na zkabaki sa akaona anapoteza muda bora aingie kitaa tu achome mishikaki chips atakuwa anachoma usku. Nikamwambia sawa

Toka sku iyo skuwahi muona amefungua kijiwe zaidi anatembea na tolori la mishikaki vifaa tulivyonunua vya chips kaweka ndani kachukua kabati la aluminium na jiko na sahan ndo anatembea navyo.

Mi skujari maana nilitaka anipe hesabu yangu tu ya siku. Sasa jana kijana nmekutana nae anipe hesabu yangu analalamika biashara ngumu hiyo ya mishikaki nikamulza mtaji uko wp maana mi nilikukuta unafanya hii biashara mtaji wako na mimi nilikupa 30000 je ziko wapi?

Kaanza story mara ana family ndo anategemea hapo hapo kwaiyo nikamulza umebakza shs akadai yan hana hela kabisa zaidi ya mishikaki aliyokuwa nayo ya shs elfu 6 tu.

NB: Nimekumbuka nilinunua na tolori ili asiwe anakodi toroli. Baada ya kunipa wazo la kutembeza mishikaki asbh na mchana halafu jion ndo achome chips

Tuendelee halafu ananiambia mishikaki ya ng'ombe hailiwi sn kama ya mbuzi sasa nimpe hela anunue mbuzi ndo achome mara nimkopeshe hela ya 2kg za nyama nje ya hela yamtaji niliyompa elfu 30. Aisee nilichoka kbs kbs wakuu

Hapa nawaza nikitoka kazn nimnyang'anye vifaa vyangu tu vyote maana nmemsaidia hasaidiki hapo hata biashara haina wk ameanza upuuzi

Nilichojifunza watz wengi wetu ni wepesi wa kulaumu lakin hatupendi kufanya kazi kabisa aisee wavivu tunapenda kuajiliwa tu

Wapo watu wanasema vjana wanaograduate wapewe mikopo wafanye biashara lakin mi naona watafungwa tu kwa madeni hakuna atakayeweza rejesha mkopo wengi wao.

Haya wakuu naomba mitazamo yenu hapa
YAANI NDO MAANA TZ IKO NYUMA....UVIVU
 
Maeneo ambayo vitu ni bei rahisi namna hio hamna mzunguko wa hela! Utalaumu sana watu ndio maana watu wanaparangana kuja Dar!

Sehemu kama hio utatoka lini kimaisha utachelewa sana hata kukuza mtaji! Ila miji mikubwa inatakiwa kujibana kidogo tu ukiweza kuji squeeze ukapunguza matumizi yasio ya lazima pesa unaiona haraka tu hasa kama una channel imenyooka!
Huu ndio ukweli.
 
Kuna mama alikuja kunililia shida nimpe mtaji wa mama ntilie atakuwa ananipa 10,000 kwa siku , nilimpa laki 9 anunue vifaa ila Kodi ya hiyo sehemu alilipia yeye.

Sikuwahi kupata hata 100 na simu nikawa simpati japo kwao napafahamu.

Kama anasoma humu ajue hela ya mwanaume mtafutaji huwa haiendi bure, muda wake unakuja.

Wabongo wengi miyeyusho japo waaminifu wapo ila uwatafute Sana.
Hahahahah biashara ya mkopo haisimamishagi biashara yani 99% biashara itasuasua na kuja kujifia!
1% ndio huwa zina succeed
 
Umenikumbusha jambo linalounga mkono hoja yako.
Niko maeneo ya Mbeya. Nina jamaa yangu anapenda kulima bustani. Akawa na uhitaji wa mbolea. Akanunua viroba vya kilo hamsinihamsini 30.
Akawakuta vijana wawili kijiweni akawapa dili. Wazunguke kwenye majalala ya masoko wajaze vile viroba ule udongo wake, (wako karibu na masoko) Kila kiroba buku, hivyo wangepata 30,000/=. Wakakubali kwa bashasha na kumuahidi aende kesho yake na pesa taslim. Kesho yake hakukuta kiroba wala udongo. Vijana wameingia mitini. (Kiroba kimoja = 500/=)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom