Uchaguzi 2020 Hakika Tundu Lissu ni "living miracle"

Si kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.
Wala kwamba ni mwanasheria nguli.
Ama kutokana na jinsi anavyojenga hoja.
Au mvuto mwingine wowote alionao! Hapana.
Bali ni kwa sababu mida hii alitakiwa awe kaoza kaburini, lakini Mungu akampandisha tokea huko!
Alitakiwa awe kanyamaza lakini bado anasema!
Alitakiwa awe kasahaulika, lakini ndiye anayeongelewa kuliko wengine wote.
Ukisoma Neno la Mungu utaona mfanano wa karibu na kisa cha ndugu yetu mpendwa.

"Basi watu wengi katika wayahudi walipata kujua ya kuwa yeye yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, ila wamwone na Lazaro, ambaye Yesu alimfufua.
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumuua na Lazaro naye; maana kwa ajili yake wengi katika wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu"
(Yoh.12:9‐11)
Sasa tujihoji, kwa nini watu walimiminika kwa Yesu baada ya tukio lile?
Jibu, hawakutaka kumwona Yeye pekee, ila na Lazaro aliyemfufua.
Kwa hiyo kumbe kuishi kwa Lazaro kuliutangaza utukufu wa Mungu. Na ndiyo sababu wakuu wakapendekeza Lazaro naye auawe haraka.
Nilipokumbuka ndiyo maana nikasema; nikimwangalia Lissu nauona utukufu wa Mungu.

Ndiyo kisa cha mimi na wengine tunatamani kumwona siyo yeye Lissu tu, lakini na huyo Mungu wake aliyemwokoa!
 
CCM watapinga kwamba ni Mungu tu ndo alimuokoa!
 
Hizi ni siri kubwa sana ukiwa msemaji wa biblia.

Hakuna jambo jipya hapa duniani kila kitu tunachokifanya Leo kilishafanyika huko nyuma
Watu wengi hawaelewi tu. Hata huu Utawala wa chama tawala wa sasa ulishawahi kutokea huko nyuma

Soma between the line utajua ulidondokaga chaliiiii

So hamna jambo jipya chini ya Jua in mkandamizaji voice
 
Mungu huyu huyu mliemdhihaki wakati wa maombi ya janga la corona?

Mungu siyo Amsterdam!

Na mtanukuu sana vifunu vya Biblia hadi oktoba 28 mtakuwa wachungaji kabisa.
 
Yote ni mahaba tuu hamna lolote.
Ingawa kweli Mungu Ni mkuu lakini mfano wako haushabihiani .
 
Si kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.
Wala kwamba ni mwanasheria nguli.
Ama kutokana na jinsi anavyojenga hoja.
Au mvuto mwingine wowote alionao! Hapana.
Bali ni kwa sababu mida hii alitakiwa awe kaoza kaburini, lakini Mungu akampandisha tokea huko!
Alitakiwa awe kanyamaza lakini bado anasema!
Alitakiwa awe kasahaulika, lakini ndiye anayeongelewa kuliko wengine wote.
Ukisoma Neno la Mungu utaona mfanano wa karibu na kisa cha ndugu yetu mpendwa.

"Basi watu wengi katika wayahudi walipata kujua ya kuwa yeye yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, ila wamwone na Lazaro, ambaye Yesu alimfufua.
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumuua na Lazaro naye; maana kwa ajili yake wengi katika wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu"
(Yoh.12:9‐11)
Sasa tujihoji, kwa nini watu walimiminika kwa Yesu baada ya tukio lile?
Jibu, hawakutaka kumwona Yeye pekee, ila na Lazaro aliyemfufua.
Kwa hiyo kumbe kuishi kwa Lazaro kuliutangaza utukufu wa Mungu. Na ndiyo sababu wakuu wakapendekeza Lazaro naye auawe haraka.
Nilipokumbuka ndiyo maana nikasema; nikimwangalia Lissu nauona utukufu wa Mungu.

Ndiyo kisa cha mimi na wengine tunatamani kumwona siyo yeye Lissu tu, lakini na huyo Mungu wake aliyemwokoa!
Ccm wana roho ya kikatili ya kihutu
 
Mkuu 'Mchokoo'

Bandiko lako limenilazimu nitoke mapumziko maalum.

Sasa ni hivi kuhusiana na haya uliyoweka hapa:

Hata kama mtu huamini uwepo wa Mungu, inashawishi pia uwepo wa nguvu ya kipekee inayofanya matukio kama haya ya akina Lissu yawepo.

Lissu haku-'savaivu' tu kutokana na tukio lililompata, bali Lissu kanawili zaidi kutokana na mkasa huo.

Katika hali ya kawaida, ku-'survive' huko kulipashwa kumpa msongo mkubwa sana wa akili. Huyu wakati huu angekuwa ni mtu wa kulalamika tuuu, kutokana na hali iliyompata.

Si hivyo tu, mtu huyu hata baada ya yaliyompata watu waliotaka aondoke hawakuacha kumzidishia mateso, badala yake wakawa ndio wa kumsimanga na kumnyima haki zake.
Mtu wa kawaida, hali hiyo ingemvuruga akili kabisa na wakati huu alipashwa kuwa na hali mbaya sana.

Maajabu ni haya tunayoyaona sasa. Tundu Lissu ni mwenye nguvu, ni mwenye akili 'sharp' kabisa na wala hateteleki na lolote.

Naunga hoja mada yako.
 
Lisu anasema kuingilia faragha za wapenzi wa jinsia mmoja ni u uvunjaji wa Sheria. Ana maanisha watu wanao ingiliana kinyume na maumbile waendelee na faragha zao na yeye anawaunga mkono.
 
Kwa hiyo Babako siyo utukufu wa Mungu? Kweli kama ni laana basi mmeshalaaniwa, unamtukuza Binadamu asiyekufahamu wala kukujua zaidi hata ya Babako?
 
Si kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.
Wala kwamba ni mwanasheria nguli.
Ama kutokana na jinsi anavyojenga hoja.
Au mvuto mwingine wowote alionao! Hapana.
Bali ni kwa sababu mida hii alitakiwa awe kaoza kaburini, lakini Mungu akampandisha tokea huko!
Alitakiwa awe kanyamaza lakini bado anasema!
Alitakiwa awe kasahaulika, lakini ndiye anayeongelewa kuliko wengine wote.
Ukisoma Neno la Mungu utaona mfanano wa karibu na kisa cha ndugu yetu mpendwa.

"Basi watu wengi katika wayahudi walipata kujua ya kuwa yeye yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, ila wamwone na Lazaro, ambaye Yesu alimfufua.
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumuua na Lazaro naye; maana kwa ajili yake wengi katika wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu"
(Yoh.12:9‐11)
Sasa tujihoji, kwa nini watu walimiminika kwa Yesu baada ya tukio lile?
Jibu, hawakutaka kumwona Yeye pekee, ila na Lazaro aliyemfufua.
Kwa hiyo kumbe kuishi kwa Lazaro kuliutangaza utukufu wa Mungu. Na ndiyo sababu wakuu wakapendekeza Lazaro naye auawe haraka.
Nilipokumbuka ndiyo maana nikasema; nikimwangalia Lissu nauona utukufu wa Mungu.

Ndiyo kisa cha mimi na wengine tunatamani kumwona siyo yeye Lissu tu, lakini na huyo Mungu wake aliyemwokoa!
Kuna nguvu na nuru ya Mungu ndani ya Tundu Antiphas Lissu.
 
mkuu mi sihusiki nimeikuta tu sehemu nikaona bora niilete hapa makamanda tuijadili
unaletaje ujinga wako humu pasipo kuwa na ushahidi nao..acha kuwa shuhuda wa uongo ilihali hata biblia inawalaani watu kama ninyi, mbaya zaidi usikute na wewe ni wa kiume
 
Si kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.
Wala kwamba ni mwanasheria nguli.
Ama kutokana na jinsi anavyojenga hoja.
Au mvuto mwingine wowote alionao! Hapana.
Bali ni kwa sababu mida hii alitakiwa awe kaoza kaburini, lakini Mungu akampandisha tokea huko!
Alitakiwa awe kanyamaza lakini bado anasema!
Alitakiwa awe kasahaulika, lakini ndiye anayeongelewa kuliko wengine wote.
Ukisoma Neno la Mungu utaona mfanano wa karibu na kisa cha ndugu yetu mpendwa.

"Basi watu wengi katika wayahudi walipata kujua ya kuwa yeye yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, ila wamwone na Lazaro, ambaye Yesu alimfufua.
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumuua na Lazaro naye; maana kwa ajili yake wengi katika wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu"
(Yoh.12:9‐11)
Sasa tujihoji, kwa nini watu walimiminika kwa Yesu baada ya tukio lile?
Jibu, hawakutaka kumwona Yeye pekee, ila na Lazaro aliyemfufua.
Kwa hiyo kumbe kuishi kwa Lazaro kuliutangaza utukufu wa Mungu. Na ndiyo sababu wakuu wakapendekeza Lazaro naye auawe haraka.
Nilipokumbuka ndiyo maana nikasema; nikimwangalia Lissu nauona utukufu wa Mungu.

Ndiyo kisa cha mimi na wengine tunatamani kumwona siyo yeye Lissu tu, lakini na huyo Mungu wake aliyemwokoa!
Amen
 
Back
Top Bottom