Hakika siku ya leo sitaisahau maishani mwangu

Pole sana ndugu, tujihadhari wenyewe, naona hawajaridhika baada ya kutuibia kura sasa wanatuua rejareja. tuchukueni tahadhari. Pole sana sana, ,kama huyajali, naomba unijulishe inbox msiba uko wapi natamani nihudhurie tu tupeane kampani maana hili ni pigo kubwa sana. Nipo Kimara Suka
 
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiuun.

Pole sana mkuu Allah akupe uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu,

Hayo mapito tunayapita watanzania wote kwa wakati huu wa "GIZA"---- these are dark days in Tz and history will reckon so.

Hivi karubuni tu ndugu yangu naye kanusurika na kifo kinachofanana na hicho cha wazee wako.

Allah atulinde sote katika masahibu hayo yanayotukabili.

Pole tena mkuu, Allah mtukufu akupe subira na awasamehe marehemu na awape malazi mema peponi. Amiin.
 
Fanya uombe radhi wewe..mwenzako kafiwa wewe unasema amekopy habari!
Sina sababu ya kufanya hivyo. Jamii Forums ni jukwaa pana. Na kwa bahati mbaya hatufahamiani humu. Sasa nongwa iko wapi mtu kuuliza kwa nia njema ili kupata ufafanuzi?

Kwani yeye ndiyo mtu wa kwanza kufiwa? Na hata huo ujasiri wa kuandika matusi mtandaoni kwa watu anao tofautiana nao mawazo katika kipindi anachopitia ana utoa wapi!
 
Pole sana rafiki,Mwenyezi Mungu awafariji kwa hayo yote yaliyotokea.

Covid 19 is real na hiyo tuchukue hatua madhubuti.Siasa za jiwe tuziweke kando. Jana nilimtembelea rafiki yangu aliyenusurika kupelekwa kaburini na hii kitu;basi alinisimulia jinsi alivyokuwa anajisikia na namna ambavyo alishaanza kuomba maombi ya toba. Tuongeze umakini wazee.
 
Vaeni barakoa!
76540.jpg
 
Pole sana mkuu, sababu ya kifo ni pneumonia kali hamna sababu nyingine hapo.


Hiyo pneumonia kali imeletwa na kitu gani???---- let's be specific and open in this case.

Mficha maradhi kifo kitamuumbua na mficha uchi hazai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom