Hakika pesa ndo kila kitu....

Hakika pesa ndo kila kitu....

hahahahah duuh kweli pesa ni zaid ya sabuni aisee
 
Mhahahahahaaaaa!haya sasa ni matani yanayoendana na ukweli...jamaa km mzamia lulu!
 
Hakika huyu mtu aliegundua kumbukumbu ya picha ashukuriwe sana!!mi nina uhakija sa hivi huyo jamaa ukimwonyesha hiyo picha yake ataruka hatua mia kuwa sio yeye na matusi juu atashusha[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Chege na domond wanajikubali isitoshe hzo pic inaeza kuwa walizitupia wao!sio masela mavi ambao maisha yao y nyuma wanayakimbia
 
9858ceae1c4d771244de17079c833471.jpg
614c97acd41183c0b7689367eca446d9.jpg
Le mbebez enzi zake.........huo mwili kautoa wapi?
 
...kwa pigo hizo hizo mandezi wengi humu alikuwa anawakimbiza!
..ila attitude safi.,kuwa grateful kwa hapa alipo na kutosahau alipotoka!
#RESPECT!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi mbavu zinauma kwa hizi picha za humu.
 
Back
Top Bottom