GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Ni wakigoma naeHivi chege nae ni kigoma line eeh
Hiyo picha ya enzi hizo, hilo shati linaonesha tu mkoa anaotokea ha ha ha ha ha samawaniiiNi wakigoma nae
Hahaha hizi picha za Diamond na Chege zimenichekesha sana ....! Wote wa Kigoma...Hivi chege nae ni kigoma line eeh
Halafu hilo shati bila shaka lilikuwa la Lemutuz....mtoto wa Tukuyu town!Hiyo picha ya enzi hizo, hilo shati linaonesha tu mkoa anaotokea ha ha ha ha ha samawaniii
Dimond huo mdomo duh ka frying panHahaha hizi picha za Diamond na Chege zimenichekesha sana ....! Wote wa Kigoma...
Hahahaha duu umeua eti flying pan..Dimond huo mdomo duh ka frying pan
Hahaaa kigoma line wanapenda sana kuvaa oversize haswa suruali n shatiHiyo picha ya enzi hizo, hilo shati linaonesha tu mkoa anaotokea ha ha ha ha ha samawaniii
Kwaheri asee mie sitaki ushahidiHahaaa kigoma line wanapenda sana kuvaa oversize haswa suruali n shati
huyu ni yule aliefanana na diamond