Hakika niliwakumbuka sana!

Hakika niliwakumbuka sana!

Hamza Nsiha

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2022
Posts
221
Reaction score
197
Habari za humu ndugu wana JamiiForums,

Ninamshukuru Mungu kwakuwa hadi leo ni mzima, japo hapo siku chache nyuma nilipata ajali mbaya ambapo nilkuwa nikiendesha pikipiki, kwa bahati mbaya niliweza kukutana na lori japo lilinigonga kwa upande wa pembeni.

Kikubwa cha kumshukuru Mungu pekee ni kuwa nilibahatika kutoka salama japo nilipata majeraha machache ambayo mpaka sasa yanaendelea vizuri.

Hakika niliwakumbuka sana wanaJamiiForums, hivi sasa nimerejea katika jukwaa langu pendwa kwa minajili ya kuendelea kupeana habari na hoja mbalimbali.
 
Uligongwa na Lori ubavuni au wewe ulilazimisha kuovateki upande wa kushoto?
 
Back
Top Bottom