Hakika nikipata mume ntafurahi

Pointless
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] kamwene mnoge
 
Coolgal nyuzi inayofatia uje na utambulisho wako tujue upoje ili tusijae huko pm then battery ikachomolewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu toka mchana anasumbua humu mara anataka kazi, oooh mara anataka mimba sasa anakuja na hii anataka mume.Nahisi dishi limeyumba huyu bedui
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji1787]
 
Huyu alishaolewa kazingua wakamtimua sasa ukp mitaani kaona chamoto anamtafuta fala amwingize kingi.

Kwa tabia hizo tumwulize bikra ipo au ???
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Pole sana dada Mungu atakujaalia
 
Maisha hayako fair. Wakati huyu anakulingia kuna mwingine ana uhitaji huo kwa hali na mali😀
 
Mwanaume yupo ila

ni mweusi, mwembamba ila ana kamwili ka mazoezi, ana urefu wa 5.3 feet, pia ni SINGO BABA wa watoto wawili, kama ipo tayari njoo PM nikuunganishe nae
Mwambie aje inbobo
 
Watu wasiojulikana at work.
 

Ndoa jambo la staha, kukutoa kwa karaha
Doa kando kwa furaha, kukuoa si jeraha
Ukenda tambo kulala, hutopoa kifukara
Japo umekuwa peke, hutopigwa kwa mateke

Japo umekuwa peke, hutopigwa kwa mateke
Epuka wenye makeke, na kuiga kula kete
Wajivuni walo tete, wenye kusiliba pete
Japo ndoa waitaka, sijitie takataka

Japo ndoa waitaka, sijitie takataka
Fungu la kukosa pata, sijiweke kwa chakacha
Nadhiri iweke hata, usichekwe kwa kuachwa
Penye nia pana njia, takuja wa kuchumbia

Penye nia pana njia, takuja wa kuchumbia
Tena asije kwa gia, na nia kukuibia
Weka makini pazia, kutenga warubunia
Baada ya dhiki faraja, kwa mwanamke wa haja

Baada ya dhiki faraja, kwa mwanamke wa haja
Mume ajenge daraja, na kulea waje waja
Harusi tafana yaja , midomoni kuitaja
Siku moja itafika, kamwe hutanung'unika

Siku moja itafika, kamwe hutanung'unika
Tapata wa kukushika, nawe pia utafika
Kwa cheko la uhakika, si la kimbio za nyika
Mapenzi yakikutaka, huna budi kuyapata

Mapenzi yakikutaka, huna budi kuyapata
Na kama hayajakata, utaringa tayvotaka
Ila kuyafatafata, bila salamu tadata
Kiangazi kinakwisha, maisha yatamasika.
 
Ukute zamani ulikuwa unachagua chagua sasa maji shingoni...
 
Duuuuu !!! Sikutegemea kama kuna wakati wanaume watakosekana.
 
Mke mtarajiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…