Hakika Mbowe ni Mwanasiasa Mahiri, Msikilize;

Ongea ya m.kiti mbowe kamwe huwezi kumfananisha na wenu.
Utamfananishaje na wetu wakati wetu anajua kwamba ukomo wa uongozi wake ni miaka 10 tu.

Huyo wa kwenu kila akiona anajitokeza mtu kutaka kuchukua nafasi yake anamfanyia fitina mbaya, hicho cheo chake anataka afe nacho.

Huwezi kumfananisha JPM na huyo Mugabe, wapo kwenye vyama viwili tofauti.
 
Talk is cheap kama huumizi akili kufikiri!

Nguvu anazotumia kujenga chama, kuna nguvu nyingine kubwa zaidi on the opposite side inayotumika kukisambaratisha. Kwa wasio ona mbali ni shida kutambuwa hilo. Labda kama chama kingekuwa kimeshawahi kushika madaraka ndo ungesema unalosema likamake sense.

Umiza akili endapo haijapofushwa bado.
Nyinyi ndio mnapaswa kuumiza akili. Anakuchezeeni vichwa vyenu kama anavyojisikia, anapiga bilioni 7 nyinyi akili zenu zimebaki kwenye maandamano tu.

Amkeni, huyo mtu anataka mpaka siku yake ya mwisho duniani awe na cheo hicho, kana kwamba CDM haina kizazi kipya cha vijana wenye upeo wa kuongoza chama.
 
Mimi siyo mwanachama wa chadema, lakini sioni shida ilipo. Vyama vyenye nia ya ukombozi, huwa havihangaiki kubadili uongozi kabla hakijaeleweka. Au hauamini kama kwa wengine kuwa shida sasa ni mkoloni mweusi? Utakuwa haujanielewa hata chembe yani. Pole sana mkuu.

Nina imani kuwa hautaweza kuona nachokwambia hata kidogo. Pengine ni kutokana na upofu utakaokuwa umesababishwa na mambo kadhaa wa kadha ie ushabikishabiki wa chama nk. All in all ccm ndo responsible. Maana Sasa una haja gani ya kuumiza kichwa na wakati chuki inalipa mbaya kabisa hata kama wewe ni ngumbaru? chuki ni mtaji tosha kabisa huko ccm. Endelea kuchangamkia fursa.
 
Mimi siyo mwanachama wa chadema, lakini sioni shida ilipo. Vyama vyenye nia ya ukombozi, huwa havihangaiki kubadili uongozi kabla hakijaeleweka. Au hauamini kama wengine kuwa shida sasa ni mkoloni mweusi? Utakuwa haujanielewa hata chembe yani. Pole sana mkuu.

Nina imani kuwa hautaweza kuona nachokwambia hata kidogo. Pengine ni kutokana na upofu utakaokuwa umesababishwa na mambo kadhaa wa kadha ie ushabikishabiki wa chama nk. All in all ccm ndo responsible. Maana Sasa una haja gani ya kuumiza kichwa na wakati chuki inalipa mbaya kabisa hata kama wewe ni ngumbaru? chuki ni mtaji tosha kabisa huko ccm. Endelea kuchangamkia fursa.
Mkuu jitahidi usiwe mtumwa wa mawazo ya mtu mmoja. Hakuna mkamilifu ambaye anakosa mbadala wake, iwe kwenye siasa iwe kwenye maisha ya kawaida.

Hilo suala la mkoloni mweusi ni inferiority complex za mtu mmoja mmoja. Mbona kuna watu wanatajirika na kuishi kwa amani humu humu Tanzania?, ina maana huyo mkoloni mweusi hasumbui ubunifu wao wa kutafuta maisha?.

Acha kuwa mnyonge na kutafuta mtu wa kumtupia lawama kwa shida zako binafsi.
 
Kweli nyani haoni makalio yake yeye alipobadilisha gia angani alimshauri nani? Mbona hakuenda twitter kutafuta maoni. Viongozi kama hawa ni liabilities kwa Taifa. Inauzi sana wakati mwingine. Anatakiwa ajue kuwa upinzani nchi hii hauta simama kama utakuwa na viongozi wajuu walaghai na wababaishaji kama huyu. Kuongea kwa hisia huku moyoni umejawa na unafiki ni useless.

Watanzania tatizo letu ni usahaulifu kasahau mara tu tumesahau kelele za mahakama ya kaadhi, ni wadini yetu nk. Mtu wa ajabu huyu kasahau TRA tu hapo Wachaga ilikuwa ni kama X-mass Moshi Au makao makuu NSSF ukienda pale ijumaa utazania ni mshuko wa ijumaa hayo mavazi utakayo kutana nayo

Tuwe wa kweli tuone tulijikwaa wapi sio kuangalia tulipo angukia. Kauli kama hizi za huyu mbowe ni ushahidi tosha kutufumbua macho na masikio wale tuliojifanya vipofu na viziwi kuelewa kwamba kulikuwa na upendeleo ukiendelea kimya kimya/chini chini na wale walio kuwa wanapendelewa ndio hao wanapiga kelele sasa. Hata kauli hizi za hovyo eti "nchi imepewa iongozwe na washamba ni katika ule ubaguzi uliokuwa unaendelea chini kwa chini. Ushamba kwa sababu ya kabila la mtu!!!? Hovyoo sanaa tu.
Maneno mengi lakini hueleweki!
 
Utamfananishaje na wetu wakati wetu anajua kwamba ukomo wa uongozi wake ni miaka 10 tu.

Huyo wa kwenu kila akiona anajitokeza mtu kutaka kuchukua nafasi yake anamfanyia fitina mbaya, hicho cheo chake anataka afe nacho.

Huwezi kumfananisha JPM na huyo Mugabe, wapo kwenye vyama viwili tofauti.
Unao uwezo wa kujenga hoja tatizo linalo kusumbua una vitu viwili, USHABIKI MAHABA na CHUKI.
 
Nyinyi ndio mnapaswa kuumiza akili. Anakuchezeeni vichwa vyenu kama anavyojisikia, anapiga bilioni 7 nyinyi akili zenu zimebaki kwenye maandamano tu.

Amkeni, huyo mtu anataka mpaka siku yake ya mwisho duniani awe na cheo hicho, kana kwamba CDM haina kizazi kipya cha vijana wenye upeo wa kuongoza chama.
Hayo ndio matamko ya Kamati Kuu ya Chadema? Baraza kuu au mabaraza ya Vijana na Wanawake?
Hao ndio wenye chama na wamemuongezea miaka mitano. Iweje Leo wanaozungumzia kwa nini haondoki ni wana CCM pekee?
Hapo haihitaji kuwa na akili ya darasa la tatu B kuelewa ujinga huo na kukaa pembeni na kucheka hihiiiii!
 
Sirikali hii ina siri hadi huwezi amini. Hata wao huko chemba wao kwa wao wanatazama usoni tu.
Mbowe lazima wamwinde, ni kioo cha ukombozi ukiangalia historia yake.

Lazima tuwe wajasiri.
 
Hayo ndio matamko ya Kamati Kuu ya Chadema? Baraza kuu au mabaraza ya Vijana na Wanawake?
Hao ndio wenye chama na wamemuongezea miaka mitano. Iweje Leo wanaozungumzia kwa nini haondoki ni wana CCM pekee?
Hapo haihitaji kuwa na akili ya darasa la tatu B kuelewa ujinga huo na kukaa pembeni na kucheka hihiiiii!
Afya ya kisiasa ya CDM ni uhai katika upinzani kwa taifa zima. Mnapokuwa na kiongozi huyo huyo mmoja miaka na miaka, maana yake hata wapinzani wenu kisiasa wanapata kazi nyepesi ya kuwasoma na kujipanga kwenye mikakati ya kisiasa.

Pia hata kidini sio jambo zuri kwa nchi au chama cha siasa kuongozwa na mtu yule yule mpaka afikie uzee wake. Miaka inavyokwenda Mungu anakuwa ameweka karama zake kwenye kizazi kipya, kinaponyimwa nafasi kizazi hicho maana yake ni mwanzo wa kinyongo kwa yule anayedhani anajua kila kitu tena kwa nyakati zote!.

Mwalimu Nyerere anasifika sana kwa sababu alikuwa na uwezo wa kuyasoma makosa yake na kupanga mkakati mpya kutokana na jinsi alivyojifahamu. Alishtukia kwamba angeweza kuishia kwa kina Mugabe na Paul Biya wa Cameroon ndio maana akaona isiwe taabu ngoja ang'atuke ili kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete waweze kuibuka.
 
Unachekesha sana na hadithi zako kwa kweli. Chadema sio chama kilicho madarakani hivyo hata kiongozi kuwepo madarakani hiyo miaka 14 (sio daima kama msemavyo ccm) ujue ni jambo la kishujaa kweli kweli. Kuongoza upinzani kwa kweli kwa nchi kama hii yetu ya sasa ni mateso na hofu kuu. Uenyekiti wake huwezi kuulinganisha na was ccm anayesindikizwa na ving'ora, yeye ni kuishi kwa kukoswakoswa risasi, kutupwa mahabusu bila makosa ya msingi, kushindwa kuletwa hata mahakamani eti gari bovu ili tuu ale pasaka gereza hata kuharibiwa biashara zake bila huruma.
Jee huko ni kufaidi uenyekiti was chama cha upinzani? Au wewe unataka kulinganisha na TLP au UDP?
2004-2018 ni miaka 14 tuu na tayari ccm mnapiga kelele kweli, lakini Nyerere was Tanu/ccm wa 1954-1987 ambayo ni miaka 33 hiyo hamkuiona na bado aliposema anang'atuka siku ile ukumbini hakuna aliyeshangilia zaidi ya wangine kububujikwa machozi.
Mbowe ni shujaa na adui yenu mkubwa CCM hivyo mnatamani asiwepo madarakani au afe kabisa.
 
Mkuu jitahidi usiwe mtumwa wa mawazo ya mtu mmoja. Hakuna mkamilifu ambaye anakosa mbadala wake, iwe kwenye siasa iwe kwenye maisha ya kawaida.

Hilo suala la mkoloni mweusi ni inferiority complex za mtu mmoja mmoja. Mbona kuna watu wanatajirika na kuishi kwa amani humu humu Tanzania?, ina maana huyo mkoloni mweusi hasumbui ubunifu wao wa kutafuta maisha?.

Acha kuwa mnyonge na kutafuta mtu wa kumtupia lawama kwa shida zako binafsi.
Shida zangu zipi za binafsi nilizomtupia mtu lawama?
 
Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.

Amenyooka bada ya kwenda lupango
tuwekee ile hotuba anyouliza wangapi wapo tayari tufanye vurugu nchi iwe kama syria
 
Wewe ndiye usemayo maneno hayo hivyo tuwekee hiyo clip.
Kuhusu kuwekwa lupango siyo sifa kwa muwekaji, kumbuka Chiluba alimuweka Kaunda kwa uonevuna baada ya yeye kutoka madarakani akaswekwa yeye kwa ubadhilifu (sio wa 1.5T) na hakuweza kuhimili akajikuta ana RIP kwa mawazo.
Mtenda hutendwa
 
Unachekesha sana na hadithi zako kwa kweli. Chadema sio chama kilicho madarakani hivyo hata kiongozi kuwepo madarakani hiyo miaka 14 (sio daima kama msemavyo ccm) ujue ni jambo la kishujaa kweli kweli. Kuongoza upinzani kwa kweli kwa nchi kama hii yetu ya sasa ni mateso na hofu kuu. Uenyekiti wake huwezi kuulinganisha na was ccm anayesindikizwa na ving'ora, yeye ni kuishi kwa kukoswakoswa risasi, kutupwa mahabusu bila makosa ya msingi, kushindwa kuletwa hata mahakamani eti gari bovu ili tuu ale pasaka gereza hata kuharibiwa biashara zake bila huruma.
Jee huko ni kufaidi uenyekiti was chama cha upinzani? Au wewe unataka kulinganisha na TLP au UDP?
2004-2018 ni miaka 14 tuu na tayari ccm mnapiga kelele kweli, lakini Nyerere was Tanu/ccm wa 1954-1987 ambayo ni miaka 33 hiyo hamkuiona na bado aliposema anang'atuka siku ile ukumbini hakuna aliyeshangilia zaidi ya wangine kububujikwa machozi.
Mbowe ni shujaa na adui yenu mkubwa CCM hivyo mnatamani asiwepo madarakani au afe kabisa.
Huwezi kulinganisha enzi za Nyerere na hizi za sasa. Nyerere aliongoza chama chenye kupigania uhuru, enzi zile taasisi zilikuwa sio imara, wenye elimu walikuwa wachache, umoja wa waliotafuta uhuru ulihitaji mtu mmoja imara ili muendelezo wa madai ya kupewa uhuru usiweze kupoteza muelekeo.

Nyakati za Mbowe ni tofauti kabisa, nchi ipo huru, wenye elimu ni wengi, wenye kuweza kuhoji mambo wakiwa na uelewa ni wengi. Taasisi za uongozi ni imara.

Yaani kwa sababu Nyerere aliongoza kuanzia nyakati za TANU mpaka mwaka 1987 basi Mbowe nae aongoze CDM kwa miaka 33!!, poleni sana kwani mtaendelea kuwa bendera hufuata upepo mpaka mwisho wa uhai wenu.

Hayo yote ambayo unasema anakutana nayo kama vile kupewa kesi na kutupwa mahabusu ni kielelezo tosha kwa CDM kuhitaji kiongozi mpya mwenye maono mapya, ambaye atakuja na mikakati inayoendana na wakati.

Mbowe bado ana ile ile mikakati ya kiuanaharakati, mikakati ambayo inazidi kupitwa na wakati kila kukicha.
 
Nilishasema unaongea mengi lakini kwa maana ya kuisemea ccm basi hayana mantiki.
Chadema ina maamuzi ya juu yanayofanywa na Kamati kuu na IPO na inafanya kazi.
Hebu sema toka moyoni, jee ccm ina maamuzi ya kichama sasa hivi au ina ONE MAN SHOW? na ndio maana hamkusema 2015 kuwa Chagua ccm bali mlisema chagua magufuli. Na Leo hakuna serikali ya ccm bali ipo ya Magufuli.
Chadema bado ni taasisi imara, ndio maana hata juzi mliamua uongozi wote ule pasaka gerezani eti hakuna Gari! WTF?
 
Hakuna uimara wowote ndani ya CDM. Hiyo kamati kuu inaundwa na watu wasio na sauti kwa huyo mkuu Mbowe.

Ni mambo yale yale ya kugeukana pale mtu anapojitokeza kutaka kuchukua hicho kiti. Anaambiwa wewe gombea tu hiyo nafsi ya mwenyekiti wala hakuna tatizo, kumbe anayemwambia huyo mtu agombee yupo kwenye mikakati ya chini chini na mwenyekiti ili kumkomoa huyo mgombeaji.

Mkuu tunayajua mengi kuhusiana na udhaifu wa CDM, ni taasisi yenye mazingira ya ulaji wa wachache.
 
Nilidhani unazungumza kwa facts kumbe bado una base kwenye maneno yenu ya kijiweni Lumumba?
Kwa heri na jumapili njema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom