Hakika Mbowe ni Mwanasiasa Mahiri, Msikilize;

Hizi ni facts mkuu. Kuna vitu huwezi kuvianika hapa jukwaani kwa sababu maalum.
Hebu twende taratibu mkuu, umesema mtu mwingine akitaka hicho cheo basi inakuwa mbinde.
OK, hayo ni maoni yako (yenu) na tuuaache mubaki nayo.
Lakini nakumbuka kuna watu walikuwa ndani ya Chadema wakafanya njama kubwa sana kutaka ZZK agombee cheo hicho. Watu hao nadhani unawakumbuka, Kitila, Mgwamba, Msando kwa uchache.
Lakini baada ya zoezi lao kushindwa na kufukuzwa wakaenda kuanzisha ACT. Jee bado wapo ACT? Ni kuwa hata huyo ZZK wamemtosa na kwa vile hawakuwa na mioyo ya upinzani dhidi ya ccm bali special assignment ya kuvuruga wamerudi CCM.
Hapo ndio nataka kukuambia kuwa Chadema ni chama kubwa na kinajua mbinu chafu, wakiona wakati wa kufanya mabadiliko ya mwenyekiti watafanya. Hujawahi kuona Mbowe anafanya lobbying kubaki madarakani bali ni wanachama wenyewe ndio wanataka.
Hakuna mambo kama yale ya Dodoma eti kura zote ndio halafu mamia wanajitokeza kudai kura zao za hapana zimeenda wapi?
 
Mkuu Chakaza CCM ina udhaifu mwingi tu. Lakini kwenye hii demokrasia ya miaka kumi ya mwenyekiti wapo vizuri sana.

Hata kama ipo mizengwe inapofika kipindi cha kumpata mwenyekiti mwingine, bado kinachofanyika ni alama ya demokrasia.

Hao wanaomkubali kaka Freeman na kumruhusu aendelee kuwepo miaka nenda miaka rudi bado hawajaifahamu maana njema sana ya neno Demokrasia.

Vinginevyo jina la chama libadilishwe ili neno Demokrasia liondolewe kwani kuendelea kuwa na kiongozi mmoja tu asiyefikiriwa kupata wa kumpokea kijiti, ni upungufu wa Demokrasia halisi.
 
Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?
Kuna usemi nimeusikia Jana kutoka kwa wana Chadema "Msiye mtaka nyinyi ndio tumtakaye".
Inaonyesha CCM inatumia nguvu kubwa kuwalazimisha Chadema wamteme Freeman, ndio wanazinduka na kujiuliza why Mbowe tuu na sio Mrema, Cheyo au Lipumba (ambaye wanatumia mpaka fedha arudi madarakani?)
Hapo ndipo wanaona lazima aendelee huyuhuyu WASIYE MTAKA.
 
Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.

cc sugu, lema, na watukanaji wote wa chadema
 
Dr Akili ungetumia akili kidogo ingekusaidia. Hivi mfano kama hiyo ya kuchoma vifaranga ni mwaka juzi?
Muwe wakweli kidogo na Mbowe ni Mtamzania mwenzenu Hakuna haja ya kuwa na chuki naye namna hiyo hasa kwenye ukweli

ni ya mwaka juzi?
 
Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?
Kuna usemi nimeusikia Jana kutoka kwa wana Chadema "Msiye mtaka nyinyi ndio tumtakaye".
Inaonyesha CCM inatumia nguvu kubwa kuwalazimisha Chadema wamteme Freeman, ndio wanazinduka na kujiuliza why Mbowe tuu na sio Mrema, Cheyo au Lipumba (ambaye wanatumia mpaka fedha arudi madarakani?)
Hapo ndipo wanaona lazima aendelee huyuhuyu WASIYE MTAKA.

speech ni ya mwaka juzi?
 
Hiyo spichi ni ya mwaka juzi kabla hajachanganyikiwa na kuota mvi nyeupe. Sasa hivi ni full matusi, uchochezi na uhaini! Hata bungeni hahudhurii tena, bila ruhusa ya spika. Bunge la bajeti karibu linaisha hajahudhuria hata siku moja. Spika atakapomchukulia hatua matusi atakayoyatoa itatubidi tuzibe masikio!
unauhakika?
 
Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.

hahahahah yaaaa ni makini sana hasa katika kulamba fweza namnyooshea mikono na.miguu juu...mtu pesa hiyo , ndesapesa...unadhani mafisadi yangeweza kusafishwa hivihivi burebure...na kuamua.kuchenjia gia angani ili mtu atuliwe softly..soft landing..hahahahaha..ni ajabu na kweli..werevu tumebaki tunangaa macho tu..jamaa lunauma na kupulizia..ni usanii uliopindukia hata msomi aliyepata digrii ya usaniii mamvi haingii hapa..
 
Fedha za Chadema maumivu ya kuibiwa yako CCM. Hii hata mjinga atagundua.
Kamati ya kina Msando wamegundua watu wamelamba mpaka majumba na viwanja vya CCM, lakini eti wenyewe hawana uchungu ila uchungu wao Mbowe
 
Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?
Kuna usemi nimeusikia Jana kutoka kwa wana Chadema "Msiye mtaka nyinyi ndio tumtakaye".
Inaonyesha CCM inatumia nguvu kubwa kuwalazimisha Chadema wamteme Freeman, ndio wanazinduka na kujiuliza why Mbowe tuu na sio Mrema, Cheyo au Lipumba (ambaye wanatumia mpaka fedha arudi madarakani?)
Hapo ndipo wanaona lazima aendelee huyuhuyu WASIYE MTAKA.
Anayezungumziwa ni Freeman sio hao wengine. Nyinyi mnajinasibu kwamba ndio chama mbadala wa CCM, hivyo kutokana na kujikweza na kujipa umuhimu kwenu ndio maana tunaona ipo haja ya kukusaidieni kwa kukupeni ushauri ili kweli mfanane na hadhi ya kuwa chama kikuu cha upinzani.

Sio suala la msiye mtaka nyinyi, ni suala la kukuzindueni akili ili msiendelee kupelekwapelekwa kama gari bovu.
 
Inatakiwa alipe kwanza deni la kodi ya NHC halafu ndio arudi kuongea hivi otherwise ni wale wale wanasiasa wa kawaida wenye maneno mengi vitendo zero. Kama maneno hata kwenye khanga yapo. Hapa kazi tuu.
 
Ndio kwanza nimeisikiliza hii hotuba,hii hotuba safi sana,nakubaliana na maneno ya Mbowe,bila ya private sector uchumi wa nchi hauwezi kukua,bila ya kuwawezesa raia uchumi wa nchi hauwezi kukua,...period
 
Chadema wanahubiri Demokrasia ambayo hawapo tayari kuifuata...!
 
Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?
Kuna usemi nimeusikia Jana kutoka kwa wana Chadema "Msiye mtaka nyinyi ndio tumtakaye".
Inaonyesha CCM inatumia nguvu kubwa kuwalazimisha Chadema wamteme Freeman, ndio wanazinduka na kujiuliza why Mbowe tuu na sio Mrema, Cheyo au Lipumba (ambaye wanatumia mpaka fedha arudi madarakani?)
Hapo ndipo wanaona lazima aendelee huyuhuyu WASIYE MTAKA.
Hakuna anelazimisha Mbowe atemwe ama ajiuzulu, watu tunataka demokrasia ifuatwe.

Ina maana Chadema ni Mbowe tu ndio anafaa, je ikitokea akapata tatizo litajalo mfanya asitumie majukumu ipasavyo itakuwa ndio mwisho wa Chadema.?
 
Hilo swali waache wana Chadema wajiulize wenyewe, iweje ccm ndio mnajiuliza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom