mi niposana kwenye jukwaa la siasa bt huku huwa napita kufurahi maana mwanfurahishaga sana memba wa huku. cose you always make my day.
sasa haka kajamaa kanako jifanya kame ajiriwa crdb naona kana wasumbua kweli,
si mkaulize hiv, hivi mwenye hela ameajiriwa au ndo ana ajiri?
alafu kanasema mkafate vila park resolt mwanza mkaone kanavyospend na watoto, sasa hapo ndo kanaona ni expensive place for spending kwa maisha yake?
alafu kwao kuna hela, vipi tena kusoma shule ya shilingi 20 elfu kwa mwaka (pambasecondary),
hiyo o level nayo? sio bure kweli? haya ukamaliza hiyo form six na wako wanane, ehnhe, mwezentu ukaenda chuo, tena ukalipiwana wazazi kwenu zipo sa kwanini ulipo maliza usijajiri? si kwenu zipo?
kwa taarifa yenu memba wa humu, huyu hayuko pekee ni tuvijana tume kaa sehemu tunasaidiana kuandika hz pumba. mkaache tu, nahisi ni kakule kage,
unapesa unaenda vila, unapesa unasoma pamba, unapesa umeajiriwa, angalau ungesema natafuta pesa ninge kuelewa.