Mkubwa hakosolewi
Member
- May 11, 2013
- 10
- 0
Hayo cyo ya kujadil hum,pamoja na kwamba mi ni mgen!
Promo bhana
tatzo uelewa wako ni mdogo sana ebu naomba rudi shule kwan naona ww ni mjinga kupita kiac na nahakika kama umesoma bac ni form 4 failure,katka maelezo yngu ni wapi umesoma ukakuta nmeandika hao madem nlikuwa nawatambulisah kwa Bi mkubwa,fu-ck you bastud ur mother fu-ck, u have to read a passege efficiently and effectively before start commenting,naomba nikufundishe kwan naona darasa la saba uliloishia linakusumbua,WHEN YOU READ A PASSEGE,YOU SHOULD HAVE THESE THINGS;
ATTENTION,
YOU SHOULD KNOW THE SUBJECT MATTER OF THE PASSEGE,
YOU HAVE TO MAKE A GOOD SUMMARY,
AND UNDERSTAND WHAT THE PASSEGE WAS ABOUT
Siitaji niendelee kwan sio tatizo lako ila ni upeo mdogo na ujinga ulonao,soma vizur maelezo ya watu na ukishaelewa ndo uanze kutoa usahuri,ww inavoonesha ni IDIOT
Ukishusha mizigo huwa zinalia kama bunduki ndo mananaomben ushaur wana JF,mimi ni mvulana wa miaka 21 nmekuwa na wakati mgumu sana katika mapenz kutokana na kung'ang'aniwa kimapenz na wakina dada ambao nmekuwa nao katika mahusiano:
katika hali ya kawaida ni vigumu sana mvulana aliye kamili kukaa kwa kpndi kirefu bila kufanya sex,ivo kwangu suala hili limekuwa kitendawili kutokana kuwa kila mdada ambaye nakuwa naye kimapenz mwisho wa cku ataki kuniacha na kung'ang'ania eti nimuoe na hii imekwisha nitokea kwa wasichana zaidi ya 8
Tatizo ni wakat huu ambapo kuna mdada alikuwa mpenz wngu kabla cjaondoka kwenda Nairobi kimasomo kuamua kuachana na mme ambaye aliyekuwa anaish nae na kurudi kwao ambapo ni mtaa mmoja na nyumban akidai lazma mm nimuoe,na amekuwa kila siku akija home kwetu na kukaa na Bi mkubwa(mama) mpaka nnaporud kutoka job,
japo wasichana wote ambao nakuwa nao kimapenz huwa nawaweka wazi kuwa mm naitaji mahusiano ya kimapenz na sio ndoa ili akae akijua tupo pamoja kama wapenz tu na si vingnevyo,
jaman naomben ushaur wenu nifanye nn kwan imefikia hatua hadi mmewe japo hawajafunga ndoa anakuja home kwetu kumlalamikia Bi mkubwa kuwa nmemtenganisha na mkewe
wewe Elli bado hujakamatwa tu na kova maana nilimpa full madetails akudakeee.
Utoto utoto utoto, end of thinking capacity a.k.a etc
ETC = End of Thinking Capacity. Dogo ndo mwisho wake wa kuwaza, akipata pesa hana cha kufanya isipokuwa wanawake. Kwa style hiyo asahau...Kinachonifurahisha kwa huyu dogo ni kila akikosolewa anakimbilia kuwaambia watu hawajasoma, hawa waajiri nao siku hizi sijui wanatumia vigezo gani kuajiri, huwezi kujiita msomi halafu unakuja kuandika story za ajabu humu utadhani wakina HEMEDI wa bongo Movie, karne hii kweli mtu unajisifia ufuska?.........sio ujanja mdogo wangu sikujui hunijui ila okoa familia yako na upumbavu wako, dizaini unaona sifa kufuatwa na mume wa mtu nyumbani kwenu hilo ni jambo la hatari ambalo sijui kwanini mama yako analiendekeza kwako, au wewe ndio msomi pekee katika familia yenu? acha hizo kijana bado una safari ndefu katika maisha.......miaka 21?