Hakika mapenzi ni mchezo wa ajabu sana

Hakika mapenzi ni mchezo wa ajabu sana

Status
Not open for further replies.
kutambia kuwa kijogoo cha mtaa,ni upuuzi ,immaturity..sio sifa
Off course mtoto mwenyewe ni immature, 21 years old (ingawa amechelewa kumature maana wenzake wa 21 wanawaza kiutu uzima karne hii. Story ya kutungaa
 
Uajabu wake sijauona bado au ndio ule wa kuvuana nguo kabla ya tendo na baaada ya hapo kila mtu anavaaa mwenyewe?????

Yeah yeah ni kweli bhana ni ya ajabu maaana ni rahisi pia kuingia Guest ila kimbembe kutoka sasa, hua mnakosa ujasiri kabisa. Hizi ndio ajabu kubwa kuliko hio ya kwako.....bisha!!"

CC: saudari MANI Nivea Smile sosoliso Paloma Little Angel. ladyfurahia na wengineo bila kumsahau Kova naskia yupo MMU leo
 
Last edited by a moderator:

Hakika mapenzi ni mchezo wa ajabu sana.
 
hii story ya kutunga, zipo sababu nyingi sana.
Umeenda chuo nairobi, una miaka 21, unafanya kazi benki, umetembea na wanawake 8, mke wa mtu anataka aolewe na wewe mtoto wa miaka 21!
kajifunze kutunga story, this is fabricated and I dont waste my time to advise fabrications

daaa me mwenyew sijamuelewa huyo dogo akapeleke mada yake kijiwen
 
hii story ya kutunga, zipo sababu nyingi sana.
Umeenda chuo nairobi, una miaka 21, unafanya kazi benki, umetembea na wanawake 8, mke wa mtu anataka aolewe na wewe mtoto wa miaka 21!
kajifunze kutunga story, this is fabricated and I dont waste my time to advise fabrications

10000000.....lyks
 
kazi ipo
 
tatzo uelewa wako ni mdogo sana ebu naomba rudi shule kwan naona ww ni mjinga kupita kiac na nahakika kama umesoma bac ni form 4 failure,katka maelezo yngu ni wapi umesoma ukakuta nmeandika hao madem nlikuwa nawatambulisah kwa Bi mkubwa,fu-ck you bastud ur mother fu-ck, u have to read a passege efficiently and effectively before start commenting,naomba nikufundishe kwan naona darasa la saba uliloishia linakusumbua,WHEN YOU READ A PASSEGE,YOU SHOULD HAVE THESE THINGS;
ATTENTION,
YOU SHOULD KNOW THE SUBJECT MATTER OF THE PASSEGE,
YOU HAVE TO MAKE A GOOD SUMMARY,
AND UNDERSTAND WHAT THE PASSEGE WAS ABOUT
Siitaji niendelee kwan sio tatizo lako ila ni upeo mdogo na ujinga ulonao,soma vizur maelezo ya watu na ukishaelewa ndo uanze kutoa usahuri,ww inavoonesha ni IDIOT

Hahaha kumbe tunasoma na kuandika vi-passege apa.
 
naomben ushaur wana JF,mimi ni mvulana wa miaka 21 nmekuwa na wakati mgumu sana katika mapenz kutokana na kung'ang'aniwa kimapenz na wakina dada ambao nmekuwa nao katika mahusiano:
katika hali ya kawaida ni vigumu sana mvulana aliye kamili kukaa kwa kpndi kirefu bila kufanya sex,ivo kwangu suala hili limekuwa kitendawili kutokana kuwa kila mdada ambaye nakuwa naye kimapenz mwisho wa cku ataki kuniacha na kung'ang'ania eti nimuoe na hii imekwisha nitokea kwa wasichana zaidi ya 8
Tatizo ni wakat huu ambapo kuna mdada alikuwa mpenz wngu kabla cjaondoka kwenda Nairobi kimasomo kuamua kuachana na mme ambaye aliyekuwa anaish nae na kurudi kwao ambapo ni mtaa mmoja na nyumban akidai lazma mm nimuoe,na amekuwa kila siku akija home kwetu na kukaa na Bi mkubwa(mama) mpaka nnaporud kutoka job,
japo wasichana wote ambao nakuwa nao kimapenz huwa nawaweka wazi kuwa mm naitaji mahusiano ya kimapenz na sio ndoa ili akae akijua tupo pamoja kama wapenz tu na si vingnevyo,
jaman naomben ushaur wenu nifanye nn kwan imefikia hatua hadi mmewe japo hawajafunga ndoa anakuja home kwetu kumlalamikia Bi mkubwa kuwa nmemtenganisha na mkewe

Hii drama!
 
kaka maisha yanatofautiana kwan kuna wengine wanawaza watapataje pesa kwajili ya chakula wakati huo wengine wanawaza kununua gari lililotoka leo Japan,so mie lazma niwazie mapenz kwan kama ni pesa nmezaliwa nmezikuta hazna shida na pia nami tayar sasa kila mwisho wa mwezi account inasoma sina mtoto wala mtu anaenitegemea so unataka niwaze nn zaidi ya mapenz,
umaskini mbaya kwan unachokiwaza ww ni upuuzi wa mtu mwenye pesa.pole kaka tatzo sina dada labda nngekupa nawe ukafurahia maisha kwan ungepata unachotaka
Utoto utoto utoto, end of thinking capacity a.k.a etc
 
dont make comparison with someone who have different life condition from urs tena nkwambie kitu nlikuwa nawafanya sana sema now nataka ntulie nioe coz nakila sababu ya kuwa na wife na watoto pia so ucshangae kulana sana ili ukishaoa unatulia co unavunga mie mctaarabu zen unakuja kuwa kcheche uzeen na unatelekeza familia kwan hukuyafanya mapema
Hongera wewe mwenye maisha bomba, enjoy the life. Ila na hilo pia nikueleze tu kuwa kama unaishi very expensive place ni Manzese. Kujibu hoja zote mfululizo inamaanisha huna PC wala smartphone, unajibia internet cafe!!! Kama maisha yako yangekuwa bomba ungekuwa na smartphone, hivyo majibu yako yasingeongozana namna hiyo. Acha kutupotezea muda hapa jamvini, nenda kale visheti mtaa wa pili, mbulula kweli
 
kaka najua tatzo ulianza shule ukiwa umeshazeeka ndo maana unaona ajabu miaka 21 kufanya kazi,sikia sasa nilmaliza kidato cha sita pamba secondari mwanza mwaka 2010 mwezi wa pili,mwezi wa saba nilijiunga na chuo kikuu cha Nairobi katika masomo ya banking and financial institutions regulations toka hiyo mwezi wa saba hadi mwaka jana ambapo nliitimu na tarehe 28 mwezi wa kwanza mwaka huu ndo nmeajiliwa hapa CRDB, kaka pole sana najua ulianza primary ukiwa mzee na ictoshe humu katikati pia ukafeli ndo maana ulichelewa/umechelewa kuajilia,pole sana kaka maisha yngu na yko ni tofauti sana kwan money is everything ivo toka nmeanza primary cjakwama popote kielimu kwan money talks cngojei mkopo wa serikali no time to waste,
Yaani ungekuwa na hiyo elimu unayoisemea, plus pesa unayotamba kuwa nayo, usingejisifia ujinga unaojisifia humu jamvini. Huna lolote kaanze upya. Najua utajibu kujilinda, lakini nafsi yako inakusuta kwani hayo ndo maisha yako.
Lets assume ulianza shule at 7 years;
Primary 7 years
O'level 4 years
A'level 1.5 years
College 3 years
Delay months 4m 4 and 6 = 1 year
TOTAL = 7+4+2+3 = 16
GRAND TOTAL = 7 (your age before std 1) + 16 = 23
Kwa hesabu zako unatudanganya ulianza primary na miaka 5, kajifunze kudanganya mbulula wewe. Usije tu na story za 'nimerushwa darasa' maana huna akili hizo, unaonekana mbulula kabisaa
Acha kujisifu kwa usicho nacho, rather ridhika na ulichonacho halafu hangaika kutafuta. Baba mkulima, mama muuza visheti, accept that reality. Usimpakazie dingi mshua sana wakaja wakamnyang'anya pesa zake za pamba buree
 
too boyish, at your age piga msuli kwanza then itafika wkt ua drmz uliziandika zitakuwa kweli
 
mie nshamaliza chuo na sasa ivi ni mwajiliwa wa tawi moja la CRDB hapa mwanza,na saivi nataka ntulie ili ntafute mke wa kuoa kwan nlikuwepo kcheche sana,lakn nakumbana na hili tatzo

wanao nao watakuwa vicheche/viruka njia...unapenda chezea chezea toto za watuuuuu.. Una mtandao mkubwa du

8 x 1 = 8
8 x2 = 16
16 x 3= 48
48 x 4 = 192
endapo utamrudia hata mmojawapo hesabu linabadilika linakuwa

8 x 3 (wewe+ mwingine+wewe(???))
:A S-confused1:
 
Uajabu wake sijauona bado au ndio ule wa kuvuana nguo kabla ya tendo na baaada ya hapo kila mtu anavaaa mwenyewe?????

Yeah yeah ni kweli bhana ni ya ajabu maaana ni rahisi pia kuingia Guest ila kimbembe kutoka sasa, hua mnakosa ujasiri kabisa. Hizi ndio ajabu kubwa kuliko hio ya kwako.....bisha!!"

CC: saudari MANI Nivea Smile sosoliso Paloma Little Angel. ladyfurahia na wengineo bila kumsahau Kova naskia yupo MMU leo

wewe Elli bado hujakamatwa tu na kova maana nilimpa full madetails akudakeee.
 
Last edited by a moderator:
hilo ni neno la kisheria nashangaa unaritafuta kene dictionary ya kiingereza pole sana kaka,ni sawa na nikwambie ESPIRIT DE CORP then ukaitafute kene dictionary ya kiingereza kaka utachemka cha msing tafuta Law dictionary utayapata,pole sio tatzo langu ni upeo mdogo ulonao kuhusu mambo,go back to school baby

kwaNZA KABISA HAKUNA ''ESPIRIT DE CORP'' BALI KUNA ESPRIT DE CORPS AMBAYO UNAIPATA TU KWENYE DICTIONARY YA KIINGEREZA. HIYO ''PASSEGE'' LABDA INAPATIKANA KATIKA DICTIONARY ZA KWENYE SAYARI YA MARS...

By syber
kaka najua tatzo ulianza shule ukiwa umeshazeeka ndo maana unaona ajabu miaka 21 kufanya kazi,sikia sasa nilmaliza kidato cha sita pamba secondari mwanza mwaka 2010 mwezi wa pili,mwezi wa saba nilijiunga na chuo kikuu cha Nairobi katika masomo ya banking and financial institutions regulations toka hiyo mwezi wa saba hadi mwaka jana ambapo nliitimu na tarehe 28 mwezi wa kwanza mwaka huu ndo nmeajiliwa hapa CRDB, kaka pole sana najua ulianza primary ukiwa mzee na ictoshe humu katikati pia ukafeli ndo maana ulichelewa/umechelewa kuajilia,pole sana kaka maisha yngu na yko ni tofauti sana kwan money is everything ivo toka nmeanza primary cjakwama popote kielimu kwan money talks cngojei mkopo wa serikali no time to waste,

By syber
mme mkuu mbona unaniangusha yan hata sheria za nchi yko huzijui,kuna sheria ambayo hata kama hujafunga ndoa na mwanamke ila mkiishi kwa miaka kadhaa kisheria inatambulika kuwa ni mkeo halali kabisa na hanakuwa na haki zote kisheria kama mke wa ndoa:
lengo langu sio kukufundisha sheria kwan co tatizo langu ni your ignorance of the law bye kaka,ukiniitaji kuhusu sheria utaniambia nitakusaidia tatzo lolote lile linalohusu sheria,kwan my profession is a lawyer

AU KITAKUWA KIJEBA HIKI???? MAANA ANAELEZA KWAMBA AMESOMA BANKING BUT AT THE SAME TIME ANASEMA ''my profession is a lawyer''
 
naomben ushaur wana JF,mimi ni mvulana wa miaka 21 nmekuwa na wakati mgumu sana katika mapenz kutokana na kung'ang'aniwa kimapenz na wakina dada ambao nmekuwa nao katika mahusiano:
katika hali ya kawaida ni vigumu sana mvulana aliye kamili kukaa kwa kpndi kirefu bila kufanya sex,ivo kwangu suala hili limekuwa kitendawili kutokana kuwa kila mdada ambaye nakuwa naye kimapenz mwisho wa cku ataki kuniacha na kung'ang'ania eti nimuoe na hii imekwisha nitokea kwa wasichana zaidi ya 8
Tatizo ni wakat huu ambapo kuna mdada alikuwa mpenz wngu kabla cjaondoka kwenda Nairobi kimasomo kuamua kuachana na mme ambaye aliyekuwa anaish nae na kurudi kwao ambapo ni mtaa mmoja na nyumban akidai lazma mm nimuoe,na amekuwa kila siku akija home kwetu na kukaa na Bi mkubwa(mama) mpaka nnaporud kutoka job,
japo wasichana wote ambao nakuwa nao kimapenz huwa nawaweka wazi kuwa mm naitaji mahusiano ya kimapenz na sio ndoa ili akae akijua tupo pamoja kama wapenz tu na si vingnevyo,
jaman naomben ushaur wenu nifanye nn kwan imefikia hatua hadi mmewe japo hawajafunga ndoa anakuja home kwetu kumlalamikia Bi mkubwa kuwa nmemtenganisha na mkewe

mbulululuuu mbululaaa, eti sharobaro men kumbee mbululaaa...... Huku ukijifagilia haisaidii cz hatujuani so kafanye haya fb. Ok lawyer n finance manager of 21 yrs? Ila unaweza kuendelea kutuhadidhia story kwan sheria ulisomea chuo gan tena? Dah hongera bwana proffesion of two careers.
 
me ninaomba anifafanulie, alianza Primary mwaka gani, O level na A level then chuo coz me kwa upande wangu hainiingii akilini kwa hiyo age atii..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom