Hakika mapenzi ni mchezo wa ajabu sana

Hakika mapenzi ni mchezo wa ajabu sana

Status
Not open for further replies.

syber

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
35
Reaction score
29
Naomben ushauri wana JF, mimi ni mvulana wa miaka 21, nimekuwa na wakati mgumu sana katika mapenzi kutokana na kung'ang'aniwa kimapenzi na wakina dada ambao nimekuwa nao katika mahusiano.

Katika hali ya kawaida ni vigumu sana mvulana aliye kamili kukaa kwa kipindi kirefu bila kufanya sex, hivyo kwangu suala hili limekuwa kitendawili kutokana kuwa, kila dada ambaye nakuwa naye kimapenzi mwisho wa siku hataki kuniacha na kung'ang'ania eti nimuoe, na hii imekwisha nitokea kwa wasichana zaidi ya 8.

Tatizo ni wakati huu ambapo kuna dada alikuwa mpenzi wangu kabla sijaondoka kwenda Nairobi kimasomo kuamua kuachana na mume ambaye aliyekuwa anaishi nae na kurudi kwao ambapo ni mtaa mmoja na nyumbani akidai lazima mimi nimuoe, na amekuwa kila siku akija home kwetu na kukaa na Bi mkubwa (mama) mpaka ninaporudi kutoka job.

Japo wasichana wote ambao nakuwa nao kimapenzi huwa nawaweka wazi kuwa mimi naitaji mahusiano ya kimapenzi na sio ndoa ili akae akijua tupo pamoja kama wapenzi tu na si vingnevyo.

Jamani naombeni ushauri wenu, nifanye nini kwani imefikia hatua hadi mumewe (japo hawajafunga ndoa) anakuja home kwetu kumlalamikia Bi mkubwa kuwa nimemtenganisha na mkewe.
 
Umewaweka wazi wasichana wote 8 kwa mama yako halafu asemi chochote!!??

Aise mama'ko anaitwa nani? Usikute na ye ndo yule tulikuwa tunamgegeda sana pale Kagera mwishoni mwa miaka ya 80. Hkn mzazi anayeweza kukubali huo upuuzi wako na uo ujinga anaofanya mama'ko unless na ye ametokea huko huko kwny kugegedwa na washashi tu!
 
naomben ushaur wana JF,mimi ni mvulana wa miaka 21 nmekuwa na wakati mgumu sana katika mapenz kutokana na kung'ang'aniwa kimapenz na wakina dada ambao nmekuwa nao katika mahusiano:
katika hali ya kawaida ni vigumu sana mvulana aliye kamili kukaa kwa kpndi kirefu bila kufanya sex,ivo kwangu suala hili limekuwa kitendawili kutokana kuwa kila mdada ambaye nakuwa naye kimapenz mwisho wa cku ataki kuniacha na kung'ang'ania eti nimuoe na hii imekwisha nitokea kwa wasichana zaidi ya 8
Tatizo ni wakat huu ambapo kuna mdada alikuwa mpenz wngu kabla cjaondoka kwenda Nairobi kimasomo kuamua kuachana na mme ambaye aliyekuwa anaish nae na kurudi kwao ambapo ni mtaa mmoja na nyumban akidai lazma mm nimuoe,na amekuwa kila siku akija home kwetu na kukaa na Bi mkubwa(mama) mpaka nnaporud kutoka job,
japo wasichana wote ambao nakuwa nao kimapenz huwa nawaweka wazi kuwa mm naitaji mahusiano ya kimapenz na sio ndoa ili akae akijua tupo pamoja kama wapenz tu na si vingnevyo,
jaman naomben ushaur wenu nifanye nn kwan imefikia hatua hadi mmewe japo hawajafunga ndoa anakuja home kwetu kumlalamikia Bi mkubwa kuwa nmemtenganisha na mkewe

Mkuu ni mume au alikuwa hawara, na waliachana au kutengana. Naona unajichanganya sana.
 
Pumbaf !
Hakuna bingwa wa kuserukambika!
Hajawahi kutangazwa mshindi wa mambo hayo, jirekebishe,jitambue!
More u sex less u live.
 
syber
Siku zote unapojitoa katika jambo fulani Jitahidi kukubali matokeo yake.
Umesema mapenzi ni mchezo na bila shaka mchezo mzuri waleta hasara.
+
Kama mamako anaendelea kuwa karibu na huyo msichana,muoe usimharibie maisha na muachie mamako uende masomoni pengine mama amebariki ili utulie.
Ujana una tabu zake utarudi umekua.
+
 
Last edited by a moderator:
Pumbaf !
Hakuna bingwa wa kuserukambika!
Hajawahi kutangazwa mshindi wa mambo hayo, jirekebishe,jitambue!
More u sex less u live.

kaka mapenz noma we kua uyaone,saiv unatukana ila nawe utatukanwa
 
mme mkuu mbona unaniangusha yan hata sheria za nchi yko huzijui,kuna sheria ambayo hata kama hujafunga ndoa na mwanamke ila mkiishi kwa miaka kadhaa kisheria inatambulika kuwa ni mkeo halali kabisa na hanakuwa na haki zote kisheria kama mke wa ndoa:
lengo langu sio kukufundisha sheria kwan co tatizo langu ni your ignorance of the law bye kaka,ukiniitaji kuhusu sheria utaniambia nitakusaidia tatzo lolote lile linalohusu sheria,kwan my profession is a lawyer

Hiyo bold imebadili maana yote. Kwa style hiyo unatakiwa kupitia tena sheria ulizosoma.
 
asante kaka najua bado ww mchanga kwenye mapenz ndo maana hauna mchango wowote kwenye JF zaidi ya kusoma habri za watu na kutoa meno nje,
halikuwa kusud lango nmetelezwa na maneno so very sorry

narudia tena: "akili yako bado changa"
 
hii story ya kutunga, zipo sababu nyingi sana.
Umeenda chuo nairobi, una miaka 21, unafanya kazi benki, umetembea na wanawake 8, mke wa mtu anataka aolewe na wewe mtoto wa miaka 21!
kajifunze kutunga story, this is fabricated and I dont waste my time to advise fabrications
 
mie nshamaliza chuo na sasa ivi ni mwajiliwa wa tawi moja la CRDB hapa mwanza,na saivi nataka ntulie ili ntafute mke wa kuoa kwan nlikuwepo kcheche sana,lakn nakumbana na hili tatzo

Miaka 21?
 
kaka mapenz noma we kua uyaone,saiv unatukana ila nawe utatukanwa
Yaani wewe umekwisha athirika kwa ngono mpaka hata akili yako imeganda.
Huwezi hata kufanya maamuzi.
ILA MSHAHARA WA NGONO UNAUJUA.
What Goes Around Comes Around.
 
Hata mie nilipokuwa Teenager, na around umri wako nilikuwa nikiwaza waza mapenz,bt mh teenager wa humu JF wamezid,everyday ni story za mapenz na kujisifu juu!
 
tatzo uelewa wako ni mdogo sana ebu naomba rudi shule kwan naona ww ni mjinga kupita kiac na nahakika kama umesoma bac ni form 4 failure,katka maelezo yngu ni wapi umesoma ukakuta nmeandika hao madem nlikuwa nawatambulisah kwa Bi mkubwa,fu-ck you bastud ur mother fu-ck, u have to read a passege efficiently and effectively before start commenting,naomba nikufundishe kwan naona darasa la saba uliloishia linakusumbua,WHEN YOU READ A PASSEGE,YOU SHOULD HAVE THESE THINGS;
ATTENTION,
YOU SHOULD KNOW THE SUBJECT MATTER OF THE PASSEGE,
YOU HAVE TO MAKE A GOOD SUMMARY,
AND UNDERSTAND WHAT THE PASSEGE WAS ABOUT
Siitaji niendelee kwan sio tatizo lako ila ni upeo mdogo na ujinga ulonao,soma vizur maelezo ya watu na ukishaelewa ndo uanze kutoa usahuri,ww inavoonesha ni IDIOT

Du!!!!!. HII KITU 'PASSEGE' NDO NINI ??? NIMETAFUTA KAMUSI ZOTE THEN NIKAENDA KWA DICTIONARY SIJAONA NENO 'PASSEGE' AU NI NENO LA KABILA FULANI??? LAWYER TUNAOMBA UFAFANUZI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom