uje na ndizi
bibi leo sikukuu acha ugomvi walau
duuuh, kwani birthday ni tatizo sikuizi, au mi ndo sielewi
mwenzenu nlikuwa nakula hii kitu tamu balaa
Sikukuu ya kipagani ni ulevi na ugomvi kwa kwenda mbele.
Sikukuu ya kipagani ni ulevi na ugomvi kwa kwenda mbele.
mbona kama kuna likimba hapo juu?
kaka ni x mas nyumbani kwangu, nimearika majirani na nduguzangu wa kutosha. Ni PM nikuelekeze
usisahau na ndizi mbivu