hakika kila mwana JF apite hapa

Akikisha serviette zote nihifadhie MKUU name wekapipa LA Mani wakinawa mwagia hapo nakuletea MTEJA was Maji na Serviette's MKUU analipa nusu Asarayaulichotumia

Aliyeelewa Hapa Anisaidie Cc lusungo masai dada
 
Last edited by a moderator:
kitu cha pilau na kitimoto safiii ni noumaa ukishushia na Maji ya mende(bia)
 
KARIBUNI kwangu, nna uhakika hamna atakayekosa wakuu



Mkuu Songoka nashkuru sana ila sina hakika kama plate moja itanitosha maana feeding capacity yangu kwa hapa mtaani kwetu naongoza.
Naomba kama plale kumi, vinywaji nifikirie.
 
.... Pilau Na Jukwaa La Siasa Wapi Na Wapi?? Mods Na Nyie Munakaribishwa Bana
 
Heh!!!! Options ziko mbili katika hili. Either ni Maulid au ni maandalizi ya mkutano wa CCM!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app

kaka ni x mas nyumbani kwangu, nimearika majirani na nduguzangu wa kutosha. Ni PM nikuelekeze
 
.... Pilau Na Jukwaa La Siasa Wapi Na Wapi?? Mods Na Nyie Munakaribishwa Bana

kwani wanasiasa hawali pilau chief?? mbona Anna Tibaijuka aliwahi kusafiri na pilau katika mikutano yake pale bukoba
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Songoka nashkuru sana ila sina hakika kama plate moja itanitosha maana feeding capacity yangu kwa hapa mtaani kwetu naongoza.
Naomba kama plale kumi, vinywaji nifikirie.

sahani zipo za kutosha we chukua bodaboda fasta ili usichelewe kwenye foleni, bado kuna sufuria kama nane hivi hazijapakuliwa
 
Nashukuru sana ila bahati mbaya tayari nilishapata buffet la nguvu pale Serena hotel.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…