Ahsante sana sijaona bapa mbili 3 hapo juu ya pilau?
karibu mkuu, usisahau magnesium tabs za kupunguza gas ya tumbo
Hiyo ni Moja ya "Neema" alizotupa Mwenyeezzi Mungu, Nakutuambia *{ kulu wa shrabu, waLaa tusrifu }* yaani "Kuleni na mnywe bila kufanya israafu/Ubadhirifu !!
@faizaFoxy kabanga SONGOKA mtena mutant gene pleo
Many ways..kitakachobakia tutengeze cookies/biskuti/crisps/uji wa limau, nk !! ZAIDI zaidi chakula cha kuku!!kweli mkuu, hakuna kufanya israf hapo. kitachobakia kitapelekwa home!!! teh teh!!!
Kunakitimoto nije