Hakika huyu binti ni mrembo

Huyo ni mrembo kwenye macho yako wewe tu mkuu..... maana sioni ile kitu yenye inanipea raha duniani kama anayo...
 


Na huyu tusemaje......mpaka lulu atoke kolokoloni atakuta huyu mtoto ndio habari ya mujini
Haka katoto kasije kakaja keahokutwa kulia lia kametelekezwa na nay na mimba juu


Ilaa kazuriii Mashaallah[emoji7][emoji7]
 


Na huyu tusemaje......mpaka lulu atoke kolokoloni atakuta huyu mtoto ndio habari ya mujini
Uyu amna kitu..Kama mwanaume..Wanafanana Na jamaa mmoja nilisoma nae Miaka ya Nyuma shule.
....
BADO UJAONA WAREMBO WW
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…