Haki za binadamu zinapovuka mipaka

Haki za binadamu zinapovuka mipaka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1424332291184.jpg
 
ni zaidi ya haki za binadamu kwakweli....
 
Anapeleka ujumbe mzito sana kwa authorities
 
Kwani wale waliozuiliwa Barbara yao so binadamu au hawana haki ??
 
Nimecheka sana, maana nimemkumbuka yule bodaboda na simba!
Bodaboda achana nao!

wana aina fulani hivi ya ukichaa breki zanyewe wanafungia miguunii
 
Barabara itakuwa ipo kwenye matengenezo huyo ni mmoja wa wahusika kwenye utengenezaji anajipumzisha kidogo baada ya uchovu wa hapa na pale.

Hapo umkute ambae ana maji yake kicwani anaweza akakupalamia pamoja na koni zilizozungushiwa
 
Ukifuatilia kila kituko cha hii dunia unaweza kujikuta nawe unaweza kuwa chizi
 
Back
Top Bottom