Philip Matolo
New Member
- Nov 2, 2021
- 2
- 0
Wizara ya Katiba na Sheria imejaa uonevu÷
Wakati katika Kituo cha kutunza Wagonjwa wenye matatizo ya Afya ya akiliI (Isanga Institution ) kilichopo Dodoma, kikitakiwa kutoa Wagonjwa waliopona, kila Mwaka mara mbili, Mwaka huu 2021 wapo wagonjwa waliopona na kuruhusiwa na wizara ya Afya na bodi zinazothibitisha kuwa wamepona.
Sasa toka mwezi July 2021, discharges za watu hawa zipo mezani kwa Waziri wa Katiba na Sheria ambaye ndio huzisaini ili waweze kuondoka. Waziri huyu toka abadilishiwe Wizara amekuwa hatoi ushirikiano kwa Idara zilizoko chini yake kama hii.
Tunaomba haki itendeke watu hawa ambao wapo zaidi ya 23 waweze kuondoka, maana pia wanaigharimu Serikali kwa Chakula, lakini pia ni haki yao kutoka hapo maana Walisharuhusiwa.