Haki ya nani wamefanana

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
7,841
3,476
kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu mwaka 2005 hadi leo sijatafuta msichana mwingine ila mwezi uliopita nimekutana na dada mmoja hapa chuoni anafanana kila kitu ambacho nilikuwa napenda kwa yule wa kwanza rangi, kutembea, macho, pozi, sauti tabasani hadi maumbile kwa kweli amenikosha sana ama hakika watu wanafanana jamani
 
kwa hali hiyo,nahisi unajaribu kum replace huyo wa zamani.watu wengine wakiachana na wenzi wao,hujaribu kutafuta aliefanana na wa zamani.unaweza ukahisi wamefanana,{kwa kuwa wa zamani bado yupo moyoni}ila lazima kutakuwa na tofauti yoyote ile.inaweza ikakupendeza wewe au kutokupendeza na maumivu ya mapenzi yakarudi upya
 
Kwahiyo wat next? so umefurahi kumwona mtualie fanana na mpenzi wako wa zamani.. Kwahiyo unataka huyo nae awempenzi wako tukupe mbinu za kumpata? au unataka kutuzihirishia duniani kuna watu wana fanana?
 
Domo zege nini mkuu..........ila kuwa makini akijua kuwa unamfananisha na x-gal wako anaweza akachukia.Kuna watu hawapendi kufananishwa na ma'Xs.....
 
Hahahahhaaa hapa Lizzy umenifurahisha. Kweli asishangae tena. Maana wakati anaandika humu JF kuna wenzie wanamvizia tayari. Kaka kimbia wahi na huyu utamkosa. Maana kuna njemba zimejaaliwa kuimbisha hadi wanalia.
 
ukimpata hakikisha unakula 2ndi mapeeeema.
Huenda huyu ashabikiriwa tayari, sasa sijui utafanyaje ili ujiridhishe kwani wa kwanza aliona huwezi kufanya inauguration akamtafuta mwenye nia aso kuremba remba! Any way, utoto wako usituletee humu jf
 
Hahahahhaaa hapa Lizzy umenifurahisha. Kweli asishangae tena. Maana wakati anaandika humu JF kuna wenzie wanamvizia tayari. Kaka kimbia wahi na huyu utamkosa. Maana kuna njemba zimejaaliwa kuimbisha hadi wanalia.
Sasa ye anakaa kutuhadithia walivyofanana wakati wenzake wanatafuta hati miliki!
 
Back
Top Bottom