Haki ya nani wamefanana

Unamuonaje unapokuwa karibu naye? Jaribu kusoma interest zake na ujue nini anapenda na nini hapendi. Ukiona anakuja usimuache akuzoee saaanaa, mpe kweli mapema. Dah, hii ni ajabu.
 
Hapo umemaanisha nini? au ulikuwa unajibu sms ukasend humu kimakosa?
 
Kwa wale msioelewa hiyo lugha hapo juu chukua tafsiri hapa chini(hasa mhusika isije kua umeweka jina magumashi jamaa akajua wa poti kaamua kukupa mchongo ki-hom-hom):

Tacho nkohane iryogho mbane = ndugu yangu ukimpatia nafasi safari hii huyo akaingia chumbani kwako Mbane.

umwiseke uyo kama nomo hachele nola mwimuki = usimchekee tena huyo kama noma acha na iwe noma safari hii

bhunyoobhu kabhisa = malizana nae kila kitu kabisa

Hai oghosoma kana? = kwani amesoma sana kukuzidi hivyo una muogopa?

Uni kumulima Nde = yani ukishampata tu basi wako huyo milele atanasa hapo kwako hatoki

omoka gho kabhere = amka(changamka) kijana wangu usiniangushe.

Dah,we mkali aisee,..
yaani unaweza geuza 1+1 isiwe 2 iwe 11 haha
 
kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu mwaka 2005 hadi leo sijatafuta msichana mwingine ila mwezi uliopita nimekutana na dada mmoja hapa chuoni anafanana kila kitu ambacho nilikuwa napenda kwa yule wa kwanza rangi, kutembea, macho, pozi, sauti tabasani hadi maumbile kwa kweli amenikosha sana ama hakika watu wanafanana jamani

Na huyo usimmege kama kawaida yako wewe si muadilifu, Subiri macho kuona wamrukie kama yule wa kwanza (pacha wake kivuli) halafu urudi tena hapa JF kuendeleza hadithi hii, yaani itapoishia hadithi hii wakikutenda ndio uanzia hapo kama muendelezo wake. AMKA UKIIZUBAA WAJANJA WATAKUMEGEA WACHUMBA ZAKO HADI UKOME
 
Sasa unataka nini?
 
sawa, nasubiri maelezo yako zaidi kaka. ila hofu yangu ni kwamba kama wanafana kila kitu maana yake hatahuyo aweza kunanihiwa na mwingine hadi ukapatwa na uchungu mwingine tena. hii ni kwa sababu wanafanana kila kitu.

kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu mwaka 2005 hadi leo sijatafuta msichana mwingine ila mwezi uliopita nimekutana na dada mmoja hapa chuoni anafanana kila kitu ambacho nilikuwa napenda kwa yule wa kwanza rangi, kutembea, macho, pozi, sauti tabasani hadi maumbile kwa kweli amenikosha sana ama hakika watu wanafanana jamani
 
Isije ikawa una fantasize kwani kwa maelezo yako huyo wa kwanza hajakutoka moyoni!!
 
maranyingi hata mie huwa ina nitokea kwamba kama kuna msichana nampenda huwa mara nyingi na mfananisha na ex wangu ama current wangu.
 
nahuyo SUBIRI KWANZA, USIFANYE NAE MAPENZI WASHIKAJI WAMTOE BIKIRA ILI WAFANANE VIZURI ZAIDI MKUBWA! We si muaminifu bwana?
 
sina shaka huyo naye anafanana kitabia na yule wa mwanzo umemletea
yuyule mbikiri wa mwanzo
alafu 2005 na 2010 ni miaka ya uchakachuaji BIG TIME

Na huyo usimmege kama kawaida yako wewe si muadilifu, Subiri macho kuona wamrukie kama yule wa kwanza (pacha wake kivuli) halafu urudi tena hapa JF kuendeleza hadithi hii, yaani itapoishia hadithi hii wakikutenda ndio uanzia hapo kama muendelezo wake. AMKA UKIIZUBAA WAJANJA WATAKUMEGEA WACHUMBA ZAKO HADI UKOME

naloli, imeandikwa uczn, amri ya 6. Ila utakuta anatamani, anadanganya, nk
jamaa mwita anatimiza hiyo amri, ila wabongo! Wakishaona umekaakaa kiboya wanakuonjea afu dem akishajua utam anang'ang'ania hukohuko. Aache uboya.
 
kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu mwaka 2005 hadi leo sijatafuta msichana mwingine ila mwezi uliopita nimekutana na dada mmoja hapa chuoni anafanana kila kitu ambacho nilikuwa napenda kwa yule wa kwanza rangi, kutembea, macho, pozi, sauti tabasani hadi maumbile kwa kweli amenikosha sana ama hakika watu wanafanana jamani

huyo nae ni bikra? Nipe namba zake mi nikuonjee, usijali naamin hatang'ang'nia kama yule wa zamani. Mi nammega mara moja tu, kiufupi nakusaidia kukutolea bikra mana we upo kwa ajili ya kuoa.
 
Back
Top Bottom