Haki ya Mwanamme & Mwanamke..,

Haki ya Mwanamme & Mwanamke..,

Joined
Jul 31, 2015
Posts
85
Reaction score
9
_je!! ni sahihi mwanamme kufungwa jela kwa kosa la kumpatia mwanafunzi mimba..

_je! ni sahihi mwanamke kufukuzwa shule kwa kosa la kupata ujauzito,..

ndio au hapana alafu elezea....

___
 
Nahisi ulikuwa na mzuka wa kuandika chochote na bahati mbaya akili ndogo ikasimamia show.
 
_je!! ni sahihi mwanamme kufungwa jela kwa kosa la kumpatia mwanafunzi mimba..

_je! ni sahihi mwanamke kufukuzwa shule kwa kosa la kupata ujauzito,..

ndio au hapana alafu elezea....

___

anza tutuion si mshafunga shule dogo
 
Back
Top Bottom