mkuu hapo una kazi. Akipata ujauzito huyo heeee utaisoma namba...
Kwani amekuja hapo kukufanyia kazi zako???
^^
Mwanamke hana tabia... Tabia huipata kwa mume
^^
Hapana..... kuandaa chakula ni wajibu wa Mke kiafrika. Hoja yako ni ipi hasa ktk hili??!!
mmhh, hata hiyo haki sawa sasa imepitiliza. Kuosha hvyo vyombo tu anaona shida na kununua nyama. Akipata mtoto ataishije? Anaweza kukupa umnyonyeshe kabisa kisa haki sawa
Wanawake wa siku izi ni htr tupu. Jana nimenuniwa mwenzenu. Kisa eti alikuwa busy na sikumsaidia.
Cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na shughuli mbili;
1. Kuosha sufuria 3, sahani 2, bakuli 1, mwiko, upawa na vijiko.
2. Kwenda kununua nyama buchani umbali wa m.150 toka nyumbani kwetu.
Nikamwambia zote zake. Kanuna mpaka Leo.
Hahahahaaaaa.....
Wajibu wa Mke ni nini? Dada zangu haki sawa zinawapeleka kombo. Kuweni makini.
Jiko LA gas (hawashi mkaa), hakudeki (nyumba ilikuwa safi). Aliniita dk. 2 baada ya kutoka kitandani. Alitoka kwenda dukani kununua kiberiti tuu... ndipo tuhuma zikaanza. Mtetee tena
Aibu aibu..... nilimsema mpaka akanikoma Jana. Akapanga vitu vyake eti anarudi kwao. Nikamwambia akasimulie yaliyotokea bila kupotosha lolote, akaogopa na kurudi ndani....
Namuandalia somo lake LA wajibu wake wa ndani!!!
Kuandaa chakula ni ihsani yake tu lakini sio akiacha umuone kakosea. Mke akikataa kunyonyesha mtoto wako basi hana kosa, ni mtoto wako atakama amemzaa yeye
Kiberiti cha nini sasa?
^^
Mwanamke hana tabia... Tabia huipata kwa mume
^^
Mhh..yote mahaba hayoooo..
Oook, hiyo haina neno. Nami sikumlazimisha kufanya iyo mambo
Mchunie uone mwisho wake
Mwambie huyo! na asubiri kunyonyesha tu, na siku mkewe akimwambia leo avae kitenge atavaa.
mmhh, hata hiyo haki sawa sasa imepitiliza. Kuosha hvyo vyombo tu anaona shida na kununua nyama. Akipata mtoto ataishije? Anaweza kukupa umnyonyeshe kabisa kisa haki sawa
Hii sasa kali.Aibu aibu..... nilimsema mpaka akanikoma Jana. Akapanga vitu vyake eti anarudi kwao. Nikamwambia akasimulie yaliyotokea bila kupotosha lolote, akaogopa na kurudi ndani....
Namuandalia somo lake LA wajibu wake wa ndani!!!
Unatakiwa umwambie "samahani mke wangu naomba uandae chakula" akikataa basi ingia jikoni na umpakulie kiroho safi. Kitu ambacho hatakiwi kukataa ni MOJA tu, haki ya ndoa