Haki sawa

Haki sawa

Dr Dre

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
2,669
Reaction score
2,857
naomba ieleweke hii ndiyo maana halisi ya haki sawa
Screenshot_2019-08-11-13-50-51.jpeg
 
tulipofika sio pazuri kabisa,,ona jinsi marijali wa mkoa wa mara wanavyofanywa na hii kampeni ya 50/50,,wanawake haki sawa sio kuwafanye muwe na viburi na kuwafanya mtake kupendelewa zaidi.
millardayo-20190813-0001.jpeg
 
Naona mnataka tuwadanganye tu hapa.

Nionavyo kikubwa kuishi vile ambavyo kila wawili wanaona hiyo ndio 50/50 yao.
ni kweli ila tatizo mwanamke akishaona umempa hiyo 50 anayotaka anaanza kulilia 60. na hapo ndipo unaanza kuona mahusiano yanaanza kuyumba
 
ni kweli ila tatizo mwanamke akishaona umempa hiyo 50 anayotaka anaanza kulilia 60. na hapo ndipo unaanza kuona mahusiano yanaanza kuyumba
Nionavyo maelewano ndio kitu kikubwa Mkuu na ikitokea kila mmoja akaridhia basi wala hakuna atakayehitaji zaidi.

Na ndio sababu usishangae wenye furaha, mafanikio ni wale ambao kila mmoja akipata chake wanaeka mezani na kuanza kuchanganua nini cha kufanya kwa mwezi mzima.
 
Back
Top Bottom