Haki sawa kwa wote

Haki sawa kwa wote

gvale

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
96
Reaction score
99
Wana jamvi ili limekaaje mimi ni kondakta wa daladala hapa town nimekaa na kutafakari ivi kwanini watumishi wa jeshi wanapanda daladala bila kulipa nauli mini natumai kila mtumishi wa umma ni muhimu serikali ifike maala wanunue magari ya taasisi zao.. ndani ya gari hapa nina wanajeshi sita rohoo inauma napoteza 2400
 
``In every general rule there's exception`` soma hiyo kauli ya mabeberu utaelewa tu ukiona huelewi nenda kashitaki polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom