Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

Mimi naona dikteta uchwara kafuzu kuwa dikteta.

Kosa letu watanzania tumelea woga wa kijinga. We do not straighten the rod while it is hot.

Kwa upande mwingine tunashuhudia mzaha tunaofanya wakati wa uchaguzi kwa kuwachekea CCM
 
naoma nipazie sauti yangu humuhumu sababu najua nipo salama huko fb watatukamata tu hawa aghrrrr naichukia ccm na watu wake wote

wanazidi kunipa sababu za kutwangana hata nyundo huko mitaani ...
 
Wana daresalam mbona kimya hivyo? Si mtinge kituoni hapo, mbona hapa Arusha lema tulishinda polisi hadi mahakamani tupo nae bila kuchoka, onyesheni umoja wenu basi huko, tunawategemea Sana huko, msiwe nyuma ya keyboard Tu hata vitendo pia Ni muhimu.
 
Wana daresalam mbona kimya hivyo? Si mtinge kituoni hapo, mbona hapa Arusha lema tulishinda polisi hadi mahakamani tupo nae bila kuchoka, onyesheni umoja wenu basi huko, tunawategemea Sana huko, msiwe nyuma ya keyboard Tu hata vitendo pia Ni muhimu.
 
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeBenSaanane[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeBenSaanane[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeBenSaanane[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeOurCountryFromDictatorShip[/HASHTAG]
 
Heshima kwenu Wakuu,

Tumefuatilia kwa karibu kutoka kwa Jopo la Mawakili Wasomi, ndugu jamaa na marafiki ambao, wamekuwa katika jitihada za Kisheria na kiungwana, kujua makosa ya Maxence na kumuwekea dhamana ili awe huru. Majibu tuliyopata yanaonyesha kile anachofanyiwa ndugu yetu hakina na wala hakifuati kifungu cha Sheria yoyote katika Sheria za nchi ya Tanzania.

Waliomshikilia wanaonekana kuongozwa kwa maelekezo na nguvu kubwa isiyomithilika wala kudhibitika hata kwa Katiba ya nchi. Mathalani leo ni siku ya pili Maxence ameshikiliwa bila kufikishwa mahakamani, alipaswa ahojiwe ndani ya saa nne (4) toka awekwe kizuizini lakini kahojiwa jana jioni karibu baada ya saa zaidi ya 28, hadi sasa mawakili wake hawajapewa hati ya mashtaka hivyo hawajui kashikiliwa kwa kosa gani na lini atafikishwa mahakamani. Na waliomshikilia wanajiapiza kuwa Mawakili hata waende mahakama kuu, Maxence hatapelekwa mahakamani mpaka wao wapende!

Na kama Maxence kashikiliwa kwa kosa linalohisiwa kwamba ni kwa kukataa kutoa taarifa za faragha za baadhi ya watumiaji wa JamiiForums.com, basi nayo itakuwa ni usiginaji wa Sheria maana kesi ya hilo suala tayari iko mahakamani na Maxence yuko nje kwa dhamana.

Kufuatia hayo yanayoendelea, katika hatua ya awali leo, wale wote tunaoguswa na kile anachokisimamia na kukipigania Maxence tunaombwa kuanzia sasa kuungana kwenye kampeni maalum kwenye mitandao ya kijamii (Facebook, Twitter, Instagram, WhatsApp) inayoendeshwa chini ya [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]. Picha maalum kwa ajili ya kampeni imeambatanishwa hapo chini.

Wale mtakaotumia lugha za kigeni e.g Kifaransa, Kiingereza, Kihispania, Kireno, n.k kumbukeni kunakili mashirika ya Kimataifa hasa yale yanayoshughulikia masuala ya habari, haki za waandishi wa habari, haki za binadamu na utawala bora.

Na pia kwa wale tunaolenga kufikisha masikitiko yetu kwa vyombo vya ndani, tumieni lugha ya staha kumueleza Rais Magufuli, Waziri Mwigulu Mchemba, IGP Mangu, Kamanda Sirro, na DCI Wambura.

Japo kwa maapizo ya waliomshikilia hakuna dalili, lakini iwapo kufikia saa saba (7) mchana wa leo, Maxence atakuwa bado hajafikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka, tutafahamishana hatua inayofuata.

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
View attachment 446473
Kwa maelezo haya kuna kitu hakiko sawa.
Kwa nini kosa la Mello halisemwi?
Kwa hiyo tumekuwa tukidhania tu ni usiri wa 'data' kumbe sio?
Na je sheria haihitaji kabla hujatoa data upewe warrant inayosema ni data za nani na zinahitajiwa kwa kosa gani la jinai?
Ukikataa si ndo unakuwa na kosa kama kuzuia uchunguzi kwa makusudi, obstruction of justice, etc?
 
1481801683556.jpg

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Haki itatendeka tu hakuna haja ya kutaharuki kua mpole,mtuhumiwa ana haki zake na mamlaka iliyomkamata ina haki zake no one is untouchable.
 
Back
Top Bottom