KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 776
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
Huenda ni watesi wake ndio wanatumia kifaa chake....Tanzania bhana.Namuona Max yuko online,naamini anashuhudia jinsi tunavyopiga kelele ,aelewe tupo pamoja naye na kamwe hatuwezi kumwacha
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
Mahakama hii hii au nyingine??Hata kama haki ya mtu itacheleweshwa naamini Haipotei kamwe, Mahakamani ndiko sehemu pekee haki Hupatikana, Sasa kwa nini hawataki kumpeleka huko, hii ni kuvunja sheria makusudi ili kutunyima uhuru wa kusema na kukosoa Viongozi wetu tulio wa chagua wenye we.
[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Mexence Melo
Mnaonaje kama sig. zetu zote kwa pamoja zikawa.....''FREE MAXENCE MELO'' na avatar zetu tukaweka hiyo picha hadi Max atakapokuwa huru?
We ni nani?? Kwani???
Namuona Max yuko online,naamini anashuhudia jinsi tunavyopiga kelele ,aelewe tupo pamoja naye na kamwe hatuwezi kumwacha